ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 7,719
- 14,506
Ndugu wa Lissu wa Ubeligiji au?Vicent Mughwai Lissu udsm EC 373
Mungu akubariki sana uliniokoa sana sijawahi kukushukuru ila nakushukuru sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu wa Lissu wa Ubeligiji au?Vicent Mughwai Lissu udsm EC 373
Mungu akubariki sana uliniokoa sana sijawahi kukushukuru ila nakushukuru sana
Elibariki Mtefu.... daaah! kule Simwaba,R.I.PProff Juan Mwaikusa, Dr Mvungi mlinifunza mambo ya msingi sana, kitu kimoja cha msingi mlinifunza petience, Mungu awarehemu,sijamsahau mwl Simwaba na Mtefu waalimu wangu wa sekondari mkae pema,
sorry na Mwalimu Maufi wa shule ya msingi sijakusahau ukae pema peponi...
Sorry mleta mada umelenga wahadhiri but....
wengine we are so touched na waalimu waliotujengea misingi....
kabla ya kufika vyuo...
see you in the next life
Namkumbuka mhadhiri mmoja aliyetumia baadhi ya wanafunzi kumpiga majungu mkuu wa kitivo ili yeye apate hiyo nafasi, alikuja kufanikiwa na hao aliowatumia wakawa watu wake watiifu na walioneemeka kwa kupata maksi za bure . Ingawa alikuja kuondolewa kwenye nafasi yake lakini aliharibu mno kitivo kwa kuwa anagawa maksi kwa watu waliokuwa watiifu kwake, yaani ukijipendekeza tu unakula GPA nzuri. Huyo jamaa ni kati ya watu wa hovyo ( Mungu nisamehe kwa hili) mno niliowahi kutana nao katika historia yangu ya elimu.
😄😄😄😄Dean of student pale UDOM Dk Mlaki..asee Maza hujawah kunifundsha ila ulitulea Kama wanaom..natafta hela nije nikupe zawadi nzuuuriii...Mr kwambaza..Mr yohana..Mr Mwenda..dah. ..Mungu awape maisha marefu Mara elfu hamsa....
..Africa developed Europe at the same rate as Europe underdeveloped Africa.Professor Kopoka UDSM mzee wa DS na notice...mnaandika notice mpaka mkione wakati huo alikuwa Dr....why Europe underdeveloped Africa.
Mihayo udsm mzee wa philosophy mzee wa ufilipino mzee wa kodrai
Maisha ya chuo kuna namna ukiyakumbuka yanafurahisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Imagine ingekuwa wakati huu wa Corona-mambo yangekuwaje? (LoL)Dr wa jalalani, akiwa anapiga lecture class lazima wale wa mbele yake wawe na leso maana si kwa mate Yale.
Huyu ni ndugu yake tundu lisu??Vicent Mughwai Lissu udsm EC 373
Mungu akubariki sana uliniokoa sana sijawahi kukushukuru ila nakushukuru sana
Du ni hatari, ila kwa uzi huu tunataka tuwatambue na kuwatia moyo walimu wetu wanaoifanya kazi yao kwa weledi!Namkumbuka mhadhiri mmoja aliyetumia baadhi ya wanafunzi kumpiga majungu mkuu wa kitivo ili yeye apate hiyo nafasi, alikuja kufanikiwa na hao aliowatumia wakawa watu wake watiifu na walioneemeka kwa kupata maksi za bure . Ingawa alikuja kuondolewa kwenye nafasi yake lakini aliharibu mno kitivo kwa kuwa anagawa maksi kwa watu waliokuwa watiifu kwake, yaani ukijipendekeza tu unakula GPA nzuri. Huyo jamaa ni kati ya watu wa hovyo ( Mungu nisamehe kwa hili) mno niliowahi kutana nao katika historia yangu ya elimu.
Mbwembwe zake na anavotaja jina lake! Demography imelala
Economics department udsm.Dkt Hamza Mkai (r.i.p) alikuwa anasema dont complicate things. Thiings are'nt hard as u think
Dr Chris Mauki guidence and counselling hakika jamaa anaifanya kazi yake kutoka damuni. The guy was soo smat in presentation even exams
Dr Mashindano.
Good bless them
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wote ni watu poa sanaSokoine University of Agriculture (SUA)
Prof/Mama Apollinaria Pereka Dept. Physiology
Prof. R.J Assey , Dept. Anatomy
Prof. RPC Temu Coll. Forestry
Prof. Pantaleo KT Munishi Coll. Forestry
Prof. Vedasto Ndibalema Dept. Wildlife
Prof. Shombe Dept. Wildlife
Hahaaa, naona unajaribu kuifeed data base ya ofisini kwenu, waambie ngashtuka leeNi wahadhiri kwa kiwango chao, wewe wape shavu walimu wako waliokonga moyo wako bana!
Dr Gerlad Shija UDOM huyo ni balaa,anakufundisha hadi maisha ya Ku behave kazini,somo lake ukiingia hutamani kipindi amalize.Mitihanani yake ya kutumia akili sana.Shikamoo Shija popote ulipo.CNMS UDOM.Hahaaa, naona unajaribu kuifeed data base ya ofisini kwenu, waambie ngashtuka lee
Sent using Jamii Forums mobile app