Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Ds hiyo

Hahahaha jamaa alisema mkewake alimpata chuo akawa anasema tuwe makin na wanafunz wemzetu three yrs lazima utoke na mke.

Jamaa alikuwa anapenda kujisifu
Prof Lugumamu mzee wa misifa anasema ukiliona garo lake limepako manzese poga simu polisi limeibiwa au limetekwa maana yeye hans Cha kufuaya manzese

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwl. Gabriel Izengo, nakumbuka alinirekebisha hata uandishi wa jina langu vinginevyo ningeliharibu maana shule nilijipeleka.
Mwl. Tatu Mgoile, very smart and understanding, alistahili kabisa kuwa Mwalimu mkuu.
Mwl. Happy (jina la mwisho nimesahau), alikua the best kwa kipindi kile, japo alikuja kukutana na changamoto fulani za maisha kutokana na mume wake akajikuta anakua tofauti, lakini bado namkumbuka katika wema wake.
Tuishie hapa kwa leo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Prof. Rutatora, Prof. MRS Mlozi, Prof. Mvena na Prof. Abood - mitambo ya SUA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr Henry Chalu, Dr Mahangila, Mr Mangesho, Dr Mbura wote hao udbs Accounting na mmoja wa marketing, hao nawakubali hadi kesho . . ila uyu jamAa wa Finance Dr Minja duh ni kauzu balaa alinitimua yombo, kisa nimenyoa panki, alintimua ofisini pia kisa nimegonga mara nyingi.. hahah jamaa ana visa balaa cjui mchagga gani yule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ossoro na karamagi hahaha hao hapana.

Mateso waliyotupa ni makubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha nimeshangaa kuwataja hao jamaa hao jamaa hawafai hata kidogo na Ossoro jr naye hakuna kitu anachofundisha hakieleweki kutishana tu kwa kifupi EC 116 na 126 hazina lecturer walio fair ila EC 117 na 127 wako poa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…