sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prof Lugumamu mzee wa misifa anasema ukiliona garo lake limepako manzese poga simu polisi limeibiwa au limetekwa maana yeye hans Cha kufuaya manzese
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemsahau Prof Malisa,Dr kaaya,Dr Marobhe,Dr Nelson~ Late Prof. Kivaisi R.T : Classical Physics
~ Prof. Ikingura J: Optical Mineralogy & Metallic Mineral Deposits
~ Prof. Manya S. : Mineralogy and Crystallography
~ Dr. Nelson B: Magmatic Petrology
All from UDSM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila Tuseme ukweli nimejaribu kuona majina yamayotajwa humu ya mabest maprofessor.
Mbona majina mengi ni ya kihaya na yenye asili ya bukoba?
Sent using Jamii Forums mobile app
~ Late Prof. Kivaisi R.T : Classical Physics
~ Prof. Ikingura J: Optical Mineralogy & Metallic Mineral Deposits
~ Prof. Manya S. : Mineralogy and Crystallography
~ Dr. Nelson B: Magmatic Petrology
All from UDSM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Geology moja io[emoji109]~ Late Prof. Kivaisi R.T : Classical Physics
~ Prof. Ikingura J: Optical Mineralogy & Metallic Mineral Deposits
~ Prof. Manya S. : Mineralogy and Crystallography
~ Dr. Nelson B: Magmatic Petrology
All from UDSM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dr Marobhe na Dr Nelson wale wazee wanajua kazi yao asee unatamani lipind kishiisheUmemsahau Prof Malisa,Dr kaaya,Dr Marobhe,Dr Nelson
Prof. Rutatora, Prof. MRS Mlozi, Prof. Mvena na Prof. Abood - mitambo ya SUA.Jamani, ni hulka ya wanadamu kutotangaza mema ya watu lakini wepesi sana kutangaza mabaya ya watu.
Hivi karibuni kuna madaktari kadhaa walitangazwa na wanafunzi wao kwa ubaya sana! Sijui kama tuhuma walizotangazwa kwazo zilikuwa na ukweli au la!
Huu uzi naomba tufanye kinyume, tuwaseme wakufunzi wetu wa vyuo vikuu kwa majina yao kwa namna walivyo 'committed', 'fair' na mahiri ktk kutoa mashule na hata walivyo fair ktk kutoa na ku'mark' mitihani yenu!
Kama hukujariwa kufika chuo kikuu ww muweke mwalimu aliyekufurahisha kwa umahiri wake wa kufundisha ktk kiwango cha kuu kabisa cha cha elimu ulichofikia! Niishie hapo
Mwalimu John Mangufuli alikua kichwa sana wa chemistry
Ha ha nimeshangaa kuwataja hao jamaa hao jamaa hawafai hata kidogo na Ossoro jr naye hakuna kitu anachofundisha hakieleweki kutishana tu kwa kifupi EC 116 na 126 hazina lecturer walio fair ila EC 117 na 127 wako poa sanaOssoro na karamagi hahaha hao hapana.
Mateso waliyotupa ni makubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Prof! Mboo-nile..... Hahaaaa umetisha sana