Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Dr. Taarabu
mzee wa 'Cholecalciferooooooool'!
 
Prof Lugumamu mzee wa misifa anasema ukiliona garo lake limepako manzese poga simu polisi limeibiwa au limetekwa maana yeye hans Cha kufuaya manzese

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe Prof. Rugumamu ndio maana ni best wa Prof. Ngware, naye alikuwa na misemo hiyo hiyo kuwa ukiona gari langu Manzese piga simu polisi[emoji16]

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namkumbuka mhadhiri mmoja aliyetumia baadhi ya wanafunzi kumpiga majungu mkuu wa kitivo ili yeye apate hiyo nafasi, alikuja kufanikiwa na hao aliowatumia wakawa watu wake watiifu na walioneemeka kwa kupata maksi za bure . Ingawa alikuja kuondolewa kwenye nafasi yake lakini aliharibu mno kitivo kwa kuwa anagawa maksi kwa watu waliokuwa watiifu kwake, yaani ukijipendekeza tu unakula GPA nzuri. Huyo jamaa ni kati ya watu wa hovyo ( Mungu nisamehe kwa hili) mno niliowahi kutana nao katika historia yangu ya elimu.
 
Dr Longopa na Dr Materu very humble...young and Energetic hawa Vijana Mungu awabariki wanajituma na wanajua kufundisha anakupiga somo kweli unakubali hawana hila.

PROF MAJAMBA MKWARA mzito ili usome very elaborative na anajua sana Sheria..Pale UD kuna vichwa balaaa kabisa.
 
Kwa wale tuliosoma SUA kozi za hesabu kuna mhadhiri mmoja alikuwa anaitwa SEMBUCHE ,aisee sitakaa nimsahau yule babu !kwanza ,mfupi ,ana chechemea kama ana kilema ,sauti nzito kama kafunga sub woofer,akiwa anafundisha shati aanfingua vishikizo na hakuwa anavaa singled hahahaahhaa..aisee kituko chake kimoja ni anafundisha huku anafuta anachokiandika yani mpaka somo linaisha ubao msafi utafikiri hakukuwa na somo...mara ya mwisho anafundisha alikamata wanafunzi 800 mpaka chuo kikaamua kimuombe asitaafu !!..sijui yuko wapi yule babu,aisee ..ila alikuwa anajua hesabu utafikir aliitunga yeye....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sokoine University of Agriculture (SUA)

Prof/Mama Apollinaria Pereka Dept. Physiology
Prof. R.J Assey , Dept. Anatomy
Prof. RPC Temu Coll. Forestry
Prof. Pantaleo KT Munishi Coll. Forestry
Prof. Vedasto Ndibalema Dept. Wildlife
Prof. Shombe Dept. Wildlife
 
Back
Top Bottom