Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Professor Alan Morton Harvard university sitakusahau kwenye criminal law
 
Dkt Hamza Mkai (r.i.p) alikuwa anasema dont complicate things. Thiings are'nt hard as u think

Dr Chris Mauki guidence and counselling hakika jamaa anaifanya kazi yake kutoka damuni. The guy was soo smat in presentation even exams

Dr Mashindano.

Good bless them

Sent using Jamii Forums mobile app
Dr. Mkai alikuwa very simple and straight forward.

Ukifeli somo lake wewe kilaza.

Umemsahau Madam Mkenda. Yupo mama yupo organized AF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Economics department udsm.

Prof Moshi(Development Economist)
Prof Msambichaka(Development Economist)
Prof Rwegasira(Monetary Economist From Havard)
Prof Rutasitara(Macro Economist)
Prof. Ossoro(Econometrics)
Dr. Semboja(industrial economist)
Dr Karamagi(Micro Economist)

Sent using Jamii Forums mobile app
Dr. Karamagi alikuwa anapata kichwa sana alivyokuwa anakamata watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr. Mkai alikuwa very simple and straight forward.

Ukifeli somo lake wewe kilaza.

Umemsahau Madam Mkenda. Yupo mama yupo organized AF.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes mkenda alikuwa international economics au monetary economics???

Those two course were good for me sio upuuzi wa econometric au intermidiate micro economics.

Mambo ya lagrange theory sijui nimepatia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilimkubali sana Mr. Erick Mkwizu (UDsm). Lecture yake ilikuwa jumuishi . Sometimes maswali ya hapa na pale. Alikuwa anafanya utamani siku ya Lecture nyingine ifike haraka. Kila la Kheri Kwake.
 
Mbona vyuo vingine sioni? hamtaki kujulikana mlisoma wapi? hahhaaha
 
Kwa wale tuliosoma SUA kozi za hesabu kuna mhadhiri mmoja alikuwa anaitwa SEMBUCHE ,aisee sitakaa nimsahau yule babu !kwanza ,mfupi ,ana chechemea kama ana kilema ,sauti nzito kama kafunga sub woofer,akiwa anafundisha shati aanfingua vishikizo na hakuwa anavaa singled hahahaahhaa..aisee kituko chake kimoja ni anafundisha huku anafuta anachokiandika yani mpaka somo linaisha ubao msafi utafikiri hakukuwa na somo...mara ya mwisho anafundisha alikamata wanafunzi 800 mpaka chuo kikaamua kimuombe asitaafu !!..sijui yuko wapi yule babu,aisee ..ila alikuwa anajua hesabu utafikir aliitunga yeye....

Sent using Jamii Forums mobile app
Sembuche alikuwa shida.. Alipostaafu alikwenda kulima turiani.. Kuna kasile na kazuzura nao walikuwa shida kwenye statistics

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prof Lugumamu mzee wa misifa anasema ukiliona garo lake limepako manzese poga simu polisi limeibiwa au limetekwa maana yeye hans Cha kufuaya manzese

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna space ya kupaki magari UDsm pale chini Faculty of Law nilikuwa naona pameandikwa jina la huyo Prof. Bila shaka msomi wa sheria huyo!? Hakuwa mjivuni fulani kweli?
 
Pereka alikuwa anapiga lecture hadi anatokwa jasho... Namkumbuka kwenye topic ya endocrinology
Sokoine University of Agriculture (SUA)

Prof/Mama Apollinaria Pereka Dept. Physiology
Prof. R.J Assey , Dept. Anatomy
Prof. RPC Temu Coll. Forestry
Prof. Pantaleo KT Munishi Coll. Forestry
Prof. Vedasto Ndibalema Dept. Wildlife
Prof. Shombe Dept. Wildlife

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tulioishia la saba nadhani sio mahala pake,endeleeni kututenga&karibuni mtaani[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi nina miaka 12 niko mtaani sasa. Huko vyuoni wengi wanaochangia utakuta washaondoka na wako huko huko mitaani uliko wewe. Mfano mimi mwenyewe.
 
Hawa wote ni watu poa sana
Hapo ongeza na
Dr. Nsajigwa Mbije
Prof. Japhary kidegesho
Prof.Shemweta
Prof. Dos Santos Silayo

Hawa jamaa Mungu awabariki sana
Ongeza mama muzanila na malisa wa biochemistry, mugasha wa soil chemistry na nsolomo wa forest ecology ila munishi sikuwahi kumulewaga kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namkumbuka mhadhiri mmoja aliyetumia baadhi ya wanafunzi kumpiga majungu mkuu wa kitivo ili yeye apate hiyo nafasi, alikuja kufanikiwa na hao aliowatumia wakawa watu wake watiifu na walioneemeka kwa kupata maksi za bure . Ingawa alikuja kuondolewa kwenye nafasi yake lakini aliharibu mno kitivo kwa kuwa anagawa maksi kwa watu waliokuwa watiifu kwake, yaani ukijipendekeza tu unakula GPA nzuri. Huyo jamaa ni kati ya watu wa hovyo ( Mungu nisamehe kwa hili) mno niliowahi kutana nao katika historia yangu ya elimu.
Kwani si ndio ninyi wafuasi wa jiwe mnavyofanya hivyo hivyo. Unadanda na majungu yaliyopitiliza ili mpate kuishi. Ni sawa tu.
 
Back
Top Bottom