Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Dr. MSAMBWA popote ulipo chukua tano yangu hii....

Hutakagi shida we jamaa, nilipata sup kozi yake the day before exam alinipa marking scheme yote nikakeshe nayo kesho yake ni mimi na kumbukumbu zangu tuu ( hahah daah )

Now he's a Dr.MWANYIKA
nyoko zake huyu mzee, mwaka wa kwanza nabeba kozi yake.... alinitibua mzee, ananibebesha kozi mwaka wa kwanza kuingia mwaka wa pili af naingia mwaka wa pili nakutana na jitu jingine afadhali ya yeye....
nakuja kupata sup ya carry over!! nilihisi dunia ndo inaishia pale asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magori navyojua alikuwa FAT (siku hizi TFF) na baadaye NSSF. Huko Muhi2 kafikaje
Prof. Cassian Magori, kwa sasa yupo SFUCHAS kama Principal, enzi hizo alikuwa Muh2!
 
Nimewakumbuka wahadhiri wangu pale VETA Shinyanga, VETA Mbeya na VETA Mwanza.Kwakweli najivunia kusoma VETA imenipa ujuzi mkubwa Wa kujitegemea na kuanzisha viwanda.
Degree tatu za VETA zinanipa ujanja mjini.
Wahadhiri nitawataja majina wakinipa ridhaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkitaka kuwatukana na kuwasema kwa mabaya huwa mnaomba ridhaa?
 
Mkuu pratap hiyo kichwa I won't forget alivyokuwa anashuka anatomy and physiology yuko poa sema mtihani wake sasa ni mgumu balaa.aliwahi kutoa UE ya ajabu watu hawakutegemea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka Kuna mwamba alikuwa CW ya 34 mwisho wa siku UE akapata kalai yaani kila mtu hakuamini kabisa...

Typed Using KIDOLE
 
Kuna space ya kupaki magari UDsm pale chini Faculty of Law nilikuwa naona pameandikwa jina la huyo Prof. Bila shaka msomi wa sheria huyo!? Hakuwa mjivuni fulani kweli?
Hapana huyu Parking yake ilikuwa kule Geography Department kwenye IRA building kulikuwa na kajinjia kwa nyuma usawa na TUKI Kama sijasahau ndio ilikuwa Parking inajina lake..Law kulikuwa na majina ya ajabu ajabu Sana Mara Prof Mgongo Fimbo Mara sijui Majamba Mara Kanywanywi Yaan Nilikuwa napenda sana kuyasoma tu nikipita pale..

Typed Using KIDOLE
 
Hapana huyu Parking yake ilikuwa kule Geography Department kwenye IRA building kulikuwa na kajinjia kwa nyuma usawa na TUKI Kama sijasahau ndio ilikuwa Parking inajina lake..Law kulikuwa na majina ya ajabu ajabu Sana Mara Prof Mgongo Fimbo Mara sijui Majamba Mara Kanywanywi Yaan Nilikuwa napenda sana kuyasoma tu nikipita pale..

Typed Using KIDOLE
Acha kuleta utani na majina ya maboss wako ebo!
 
Dean of student pale UDOM Dk Mlaki..asee Maza hujawah kunifundsha ila ulitulea Kama wanaom..natafta hela nije nikupe zawadi nzuuuriii...Mr kwambaza..Mr yohana..Mr Mwenda..dah. ..Mungu awape maisha marefu Mara elfu hamsa....
Aiseeee nikiwa masters Dr Mlaki alinitabiria mazuri sana mungu amsimamie huko aliko..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr.Chacha Bhoke Murungu, huyu Mtu anaijua sana International law, specifically "International Criminal Law. Live longer brother japo humu katikati ulipitia changamoto Kidogo baada ya kuingia pale kwa jamaa wa Wese na mitungi!
Hadi jamaa yangu akakimbilia bondeni, huwaga analalamika sana kuhusu zile mambo alifanyiwa.
 
Back
Top Bottom