Hebu lete "top 3" ya mechi bora za fainali UCL kuanzia mwaka 2000 na kuendelea

Hii mechi naikumbukaga sana yaaan kama vile imechezwa jana.
 
Ac milan vs liverpool 2005
 
fainali kali ile ya fagason na guadiola 2010 mzee alitaka afe uwanjani coz alikuwa anavabrite mwili mzima 😁
Acha kabisa kaka...ulipigwa mpira hatari yaani pale ndio unaona kuwa pep ni bongemkja la kocha...kibabu fergie hakuona kitu pale.
Its david villaaaaaaaa....watu la tatu hilloo.
 
Mkuu umenikumbusha huyo Walter pandiani, mechi ya marudiano na Milan alimpiga kanzu MTU mzima maldini halafu akafunga..huyo deportivo ilikuwa weka mbali na children!
Walter pandiani tulikua tunamuita mtambo wa mabao dk 10 za mwanzo
Ndani ya izo dk 10 za mwanzo anakua kashatupia goli 1
Ile mechi ya nusu fainali na porto izo dk 10 za mwanzo zikapita bila goli na diportivo la coruna akapigwa 2 bila
Iliniuma sana
 
1.Barca Vs Chelsea (2009, 2nd leg, one of the most controversial games ever)
2. Barca Vs Man united (2011, hii fainali mpira ulipigwa sana,mpaka leo Man untd anaweka rekodi ya kucheza fainali uefa bila kupata kona)

3. Chelsea Vs Barcelona ( 2nd Leg, semi final, goli la fernando Torres lile)
 
Walter pandiani tulikua tunamuita mtambo wa mabao dk 10 za mwanzo
Ndani ya izo dk 10 za mwanzo anakua kashatupia goli 1
Ile mechi ya nusu fainali na porto izo dk 10 za mwanzo zikapita bila goli na diportivo la coruna akapigwa 2 bila
Iliniuma sana
mkuu hao deportivonilikuwa nawakubali sana, walikuwa wanatoa mastreka ya hatari tu..unawakumbuka kina diego tristan na roy makaay aka minjino
 
Arsenal vs baca tulihujumiwa red kadi kwa golikipa wetu aliyekuwa mwiba na kikwazo kwa baca lile kombe tuliibiwa kwa ufupi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…