Hebu lete "top 3" ya mechi bora za fainali UCL kuanzia mwaka 2000 na kuendelea

Hebu lete "top 3" ya mechi bora za fainali UCL kuanzia mwaka 2000 na kuendelea

Pia mechi ya Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya 2012, Bayern Munich Vs Chelsea.

Bayern wakicheza katika uwanja wai wa nyumbani, waliongoza mechi muda mwingi wa mchezo mpaka pale dakika za lala salama, Didier Drogba aliposawazisha kwa goli maridhawa la kichwa na kufanya ubao usomeke 1-1.

Mechi ikaenda extra time kisha kwenye mikwaju ya penati, ambapo Didier Drogba (The Ivorian Giroud) akapiga penati ya ushindi na kuwapa taji Chelsea.

Pamoja na sifa kubwa alizopewa Didier kwenye fainali, bado wachambuzi wengi wa soka kwa makususdi walifumbia macho kazi kubwa iliyofanywa na Petr Cech, pengine fainali ile ingeisha kwa Bayern kushinda dk 90 tena kwa goli kama 3 kama si mchango mkubwa uliofanywa na Cech.
Hii mechi naikumbukaga sana yaaan kama vile imechezwa jana.
 
Kwa upande wangu

1.2005, Ac milan vs Liverpoo, dk 90 3-3 then Liverpool akawa bingwa kwa matuta

2.2006, Barcelona Vs Arsenal, dk 90 2-1, Arsenal anakufa kikatili sana, enzi hizo arsenal ni ya moto, niwaambie tu wadogo zangu, Arsenal mnayoiona sio hii.

3.2008, Man u Vs Chelsea, dk 90 1-1, Matuta man u bingwa, Penalty 5 zilisha kwa timu zote, Terry anateleza anakosa penalty, ndo basi tena.

Vipi kwa upande wako?
Ac milan vs liverpool 2005
 
fainali kali ile ya fagason na guadiola 2010 mzee alitaka afe uwanjani coz alikuwa anavabrite mwili mzima 😁
Acha kabisa kaka...ulipigwa mpira hatari yaani pale ndio unaona kuwa pep ni bongemkja la kocha...kibabu fergie hakuona kitu pale.
Its david villaaaaaaaa....watu la tatu hilloo.
 
Mkuu umenikumbusha huyo Walter pandiani, mechi ya marudiano na Milan alimpiga kanzu MTU mzima maldini halafu akafunga..huyo deportivo ilikuwa weka mbali na children!
Walter pandiani tulikua tunamuita mtambo wa mabao dk 10 za mwanzo
Ndani ya izo dk 10 za mwanzo anakua kashatupia goli 1
Ile mechi ya nusu fainali na porto izo dk 10 za mwanzo zikapita bila goli na diportivo la coruna akapigwa 2 bila
Iliniuma sana
 
1.Barca Vs Chelsea (2009, 2nd leg, one of the most controversial games ever)
2. Barca Vs Man united (2011, hii fainali mpira ulipigwa sana,mpaka leo Man untd anaweka rekodi ya kucheza fainali uefa bila kupata kona)

3. Chelsea Vs Barcelona ( 2nd Leg, semi final, goli la fernando Torres lile)
 
Walter pandiani tulikua tunamuita mtambo wa mabao dk 10 za mwanzo
Ndani ya izo dk 10 za mwanzo anakua kashatupia goli 1
Ile mechi ya nusu fainali na porto izo dk 10 za mwanzo zikapita bila goli na diportivo la coruna akapigwa 2 bila
Iliniuma sana
mkuu hao deportivonilikuwa nawakubali sana, walikuwa wanatoa mastreka ya hatari tu..unawakumbuka kina diego tristan na roy makaay aka minjino
 
Kwa upande wangu

1.2005, Ac milan vs Liverpoo, dk 90 3-3 then Liverpool akawa bingwa kwa matuta

2.2006, Barcelona Vs Arsenal, dk 90 2-1, Arsenal anakufa kikatili sana, enzi hizo arsenal ni ya moto, niwaambie tu wadogo zangu, Arsenal mnayoiona sio hii.

3.2008, Man u Vs Chelsea, dk 90 1-1, Matuta man u bingwa, Penalty 5 zilisha kwa timu zote, Terry anateleza anakosa penalty, ndo basi tena.

Vipi kwa upande wako?
Arsenal vs baca tulihujumiwa red kadi kwa golikipa wetu aliyekuwa mwiba na kikwazo kwa baca lile kombe tuliibiwa kwa ufupi.
 
Back
Top Bottom