Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Barcelona ya Guadiola ilikua tamu sana,,inter ya akina cambiasso, walter samuel na zanetti ilikua moto, chelsea ya akina lampard, crespo n.k.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii mechi naikumbukaga sana yaaan kama vile imechezwa jana.Pia mechi ya Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya 2012, Bayern Munich Vs Chelsea.
Bayern wakicheza katika uwanja wai wa nyumbani, waliongoza mechi muda mwingi wa mchezo mpaka pale dakika za lala salama, Didier Drogba aliposawazisha kwa goli maridhawa la kichwa na kufanya ubao usomeke 1-1.
Mechi ikaenda extra time kisha kwenye mikwaju ya penati, ambapo Didier Drogba (The Ivorian Giroud) akapiga penati ya ushindi na kuwapa taji Chelsea.
Pamoja na sifa kubwa alizopewa Didier kwenye fainali, bado wachambuzi wengi wa soka kwa makususdi walifumbia macho kazi kubwa iliyofanywa na Petr Cech, pengine fainali ile ingeisha kwa Bayern kushinda dk 90 tena kwa goli kama 3 kama si mchango mkubwa uliofanywa na Cech.
Mkuu naikumbuka sana ile penalty ya Luiz aisee[emoji23][emoji23][emoji23]Ongezea na hii ya 2012 Chelsea vs Bayern ilikuwa balaa aseeh wale wajerumani hawafai ..japo walipoteza final
Shuti kama ugomviMkuu naikumbuka sana ile penalty ya Luiz aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii mechi naikumbukaga sana yaaan kama vile imechezwa jana.
Ac milan vs liverpool 2005Kwa upande wangu
1.2005, Ac milan vs Liverpoo, dk 90 3-3 then Liverpool akawa bingwa kwa matuta
2.2006, Barcelona Vs Arsenal, dk 90 2-1, Arsenal anakufa kikatili sana, enzi hizo arsenal ni ya moto, niwaambie tu wadogo zangu, Arsenal mnayoiona sio hii.
3.2008, Man u Vs Chelsea, dk 90 1-1, Matuta man u bingwa, Penalty 5 zilisha kwa timu zote, Terry anateleza anakosa penalty, ndo basi tena.
Vipi kwa upande wako?
Hahahah shuti la mwendo kasiShuti kama ugomvi
Acha kabisa kaka...ulipigwa mpira hatari yaani pale ndio unaona kuwa pep ni bongemkja la kocha...kibabu fergie hakuona kitu pale.fainali kali ile ya fagason na guadiola 2010 mzee alitaka afe uwanjani coz alikuwa anavabrite mwili mzima 😁
Walter pandiani tulikua tunamuita mtambo wa mabao dk 10 za mwanzoMkuu umenikumbusha huyo Walter pandiani, mechi ya marudiano na Milan alimpiga kanzu MTU mzima maldini halafu akafunga..huyo deportivo ilikuwa weka mbali na children!
mkuu hao deportivonilikuwa nawakubali sana, walikuwa wanatoa mastreka ya hatari tu..unawakumbuka kina diego tristan na roy makaay aka minjinoWalter pandiani tulikua tunamuita mtambo wa mabao dk 10 za mwanzo
Ndani ya izo dk 10 za mwanzo anakua kashatupia goli 1
Ile mechi ya nusu fainali na porto izo dk 10 za mwanzo zikapita bila goli na diportivo la coruna akapigwa 2 bila
Iliniuma sana
Walikua na captain wao anaitwa franmkuu hao deportivonilikuwa nawakubali sana, walikuwa wanatoa mastreka ya hatari tu..unawakumbuka kina diego tristan na roy makaay aka minjino
Arsenal vs baca tulihujumiwa red kadi kwa golikipa wetu aliyekuwa mwiba na kikwazo kwa baca lile kombe tuliibiwa kwa ufupi.Kwa upande wangu
1.2005, Ac milan vs Liverpoo, dk 90 3-3 then Liverpool akawa bingwa kwa matuta
2.2006, Barcelona Vs Arsenal, dk 90 2-1, Arsenal anakufa kikatili sana, enzi hizo arsenal ni ya moto, niwaambie tu wadogo zangu, Arsenal mnayoiona sio hii.
3.2008, Man u Vs Chelsea, dk 90 1-1, Matuta man u bingwa, Penalty 5 zilisha kwa timu zote, Terry anateleza anakosa penalty, ndo basi tena.
Vipi kwa upande wako?