Hebu mcheki huyu kilaza ni Nidhamu kazini au Nidhani ya uoga?

Hebu mcheki huyu kilaza ni Nidhamu kazini au Nidhani ya uoga?

Jamaa alikuwa akifanya kiwandani na kila siku
alikuwa anafanya overtime. Bosi wake akamuita
na kumsifu sana na kumuahidi akiendelea na
moyo huo angemhakikishia kumpa cheo
kikubwa katika muda mfupi na hata hisa katika
kampuni. Jamaa akaongeza bidii na masaa ya
kufanya overtime. Siku moja usiku akiwa katika
overtime saa sita ya usiku TANESCO wakakata
umeme, akaamua kutoroka na kurudi
nyumbani kwake. Alipofika nyumbani kwake
akakuta gari la bosi wake limepaki nje, giza
likiwa limetanda akazunguka kwenye dirisha la
nyumba yake ili amgongee mkewe, alipogonga
sauti ya bosi wake ilitoka chumbani kwake
ikisema,'Nani huyo?'. Jamaa akashtuka na
kukimbia mbio kurudi kazini, akajisemea
moyoni,' Dah nusura ningekamatwa na bosi'

Booongeee la kijambiooo!!
 
kakakakakakakakaka.hncvdkj-0ik dah! bonge la noma,chezea boss wewe.
Nalog off
 
Back
Top Bottom