The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
May all souls find enlightenment,
Moja kwa Moja kwenye mada, nianze kwa kusema Mimi ni mwanaume (45) nimepata na pamoja na mambo mengine katika ndoa yangu naenjoy sana sex ofcourse nina michepuko kadhaa pia. Sinywi pombe, sivuti sigara, napenda kula vizuri (starehe yangu nyingine) nafanya mazoezi, na yes NAPIGA PUNYETO.
Utashangaa vipi nimeoa nina michepuko na Bado NAPIGA PUNYETO, tulia kwanza nikupe maarifa, PUNYETO iko na utamu wake tofauti kabisaaa na papuchi na sitaki kuikosa hii burudani ya nyeto nataka zote zote papuchi zichakatwe na nyeto ipigwe inategemea na mizuka na nahitaji ya mwili.
Kuna waziri Fulani wa Congo nadhini au Zambia zilivuja clip zake akipiga PUNYETO ofisini kwake na hata msanii maarufu Afrika Kusini aliwahi kukutwa akipiga PUNYETO sasa utajiuliza waziri mzima na hata msanii maarufu ambae wanawake wa Kila aina wanajileta kwake anapiga PUNYETO ndio nakusanua sasa PUNYETO ina Raha yake tofauti na casual sex.
Nimepiga PUNYETO tangu nikiwa 16 na mpaka sasa naendelea kujichukilia Sheria mkononi Kila mara ninapopata mizuka na SIJAWAHI KUWA NA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
imekuwepo dhana POTUFO baina ya wanaume kwamba PUNYETO husabavisha upungufu wa nguvu za KIUME, nianze kwa kusema ukisikia mtu anasema hivyo huyo hajui mfumo wa uzazi unafanya vipi kazi.
Nguvu za KIUME au labodo kwa kimombo huchochewa na homone ya testerstrone inayozalishwa mwilini mwanaume anapofikia umri wa miaka 14 na huongezeka anapofikia miaka 20 - 27 hapo huanza kushuka taratibu kadri umri unavyokwenda.
Matokeo yake ni kwamba kadri umri unavyokwenda sex drive au ndio mnaita nguvu za KIUME hupungua KAMA HAYA YAFUATAYO HAYATAZINGATIWA:
(1). Ulaji Mbaya.
Kula vyakula visivyo na virutubisho kama chips mayai ya kisasa, sembe, maandazi, mikate nk sasa hata hizo shahawa zitatengenezwa vipi kwa kula mikate, unajua mara nyingine hebu tumieni akili.
(2). Ulevi.
Pombe ni sababu kubwa ya kuzuia mwili kuzalisha testerstrone homone. Mwili unauweka katika tensions na unataka ufunction vizuri. Yani una gari badala uweke naji safi kwenye rejeta wewe unaweka maji machafu yenye matope na unataka gari iwe na nguvu.
(3). Kutofanya mazoezi. Kutoshughulisha mwili mtu amekaa kama likuku la kisasa na anakula machips, mikate alafu anataka awe na nguvu za KIUME are you insane ?! Kuna wanaume wengine wamelegeaaaa ikiwaangalia wako kama wanawake (sijakusudia kuwatukana it's true though) alafu ati na wao wanataka wawe na nguvu za KIUME hell no LAZIMA UWE FIT ili testerstrone izalishwe na kuboost sex drive Yako.
(4). Maradhi au matumizi ya baadhi ya dawa. Kwa mfano magonjwa Kawa kisukari hupunguza sana nguvu za KIUME na hata matumizi ya baadhi ya dawa. Japo baadhi ya magonjwa haya,uiliki lakini mengi kama kisukari, pressure yangezuilika kwa kufanya mazoezi.
(5). Kutuopata muda wa kutosha wa kupumzika. Unajua kwamba mtu asipotata kulala kwa siku nne (4) atadhoofu na hata changanyikiea ?! Kulala ni tiba ni njia ya mwili kurecharge na kujiponya. Sasa Kuna jamaa wao ni kukesha wanaangalia mipira au wanaangalia movie sijui series kesho yake unamkuta macho mekundu anatembea kwa kupepesuka sasa imagine haya ndio maisha yake alafu na yeye anataka ati na yeye awe na nguvu za KIUME, ni kichekesho HAKIKA.
Unajua ni hulka ya binadamu kutafuta sehamu ya kutupia lawama zake pale anaposhindwa jambo, kwa mfano mtu mvivu akishindwa kijenga uchumi wake atasingizia serikali, ndio hivyo wanaume magoigoi, wanakula junk foods, wanaokunywa mapombe wakikosa nguvu za KIUME kamwe hawataki kuukabili ukweli kua mtindo wao wa maisha ni mbovu wanakimbikia kuilaumu PUNYETO.
Sasa mtu hafanyi juhudi yoyote kutunza afya yake then nguvu za KIUME zinashuka anaisinguzia kunyeto, kwanza kwa taarifa yenu tafiti kadhaa zimethibitisha PUNYETO kuchochea ongezeko la uzalishaji wa shahawa na kuimarisha pelvic muscles.
Yani mwili kikawaida hua unapitia adaptation kwa mfano mtu akifanya mazoezi ya mwili kama bench press au squarts misuli inakua imara baada ya mwili kuadopt mazingira ya mazoezi au mtu anaependa kula sana mwili unazalisha zaidi insulin na pancreatic enzymes siku asipokula atahisi njaa kwa haraka maana mwili umeadopt mazingira ya yeye kula Kila wakati
Ndivyo hata mtu anayepiga PUNYETO uume wake unakua imara zaidi na hata korodani zake huzalisha shahawa kwa wingi zaidi, huu ujinga ati PUNYETO inapunguza nguvu za KIUME sijui hata ulitokea wapi. sasa fala Fulani anaikunywa mapombe, anavuta sigara, hafanyi mazoezi na chakula chake ni chips na mikate akijosa nguvu za kiume anaisinguzia PUNYETO.
Hata hao wanaowauzieni dawa za kuengeza kuvu za KIUME watakwambia "lakini zingatia kufanya mazoezi na acha pombe" sasa hapo hata kama ni mjinga hauoni kua dawa ya nguvu za KIUME unayo wewe mwenyewe kurekebisha mtindo wako wa maisha.
Na mwisho japo sio kwa umihimu niseme kua kula vizuri, kuacha pombe na kufanya mazoezi sio tu itakuongezea nguvu za KIUME na kuzichakata papuchi ipadavyo lakini pia itakufanya kua mchangamfu zaidi, kua na afya zaidi, kuweza kuficus na ku concentrate zaidi katika shughuli zako maana hautakua goigoi na hii itakufanya kufurahia maisha na kua productive zaidi hali ambalo nadhani unatakiwa kuwa hivyo.