Hebu Ngoja! Erasto Nyoni Aliingia Uwanjani huku akiwa anavaa Hereni?

Babu nyoni pale alizingua sana,halafu age ishaenda bado anavaa vaa mihereni!jamaa mshamba sana
 
Hawa kina Nyoni washachoka waonyeshwe mlango wa kutokea.
Wachezaji wanashindwa kuipambania timu , wamekalia mambo ya kipuuzi tu.
 
Hapa ndio utaona wachezaji walikuwa hawana uchungu na timu, fukunza wote wavivu kasoro inonga
 
Dah!..
 
Hizo hereni na yale mabangili ni hirizi za kisasa….
 
Jamaa alizingua sana yan ivi mwanaume unahangaika na hereni za nin wakat timu imefungwa
Jamaa kwa lile tukio anatakiwa aondolewe kwenye timu hana msaada..
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…