AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 6,406
- 4,899
Lile lilikua tukio la kipumbavu sana, dakika zinapotea yeye bado anajipodoa tu mtoto wa kiume.Mnalikuza Sana hili tukio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lile lilikua tukio la kipumbavu sana, dakika zinapotea yeye bado anajipodoa tu mtoto wa kiume.Mnalikuza Sana hili tukio
Alikuwa anajua ndio maana alizifichja mwanzo. Hakuna kitu cha kujadili hapoSo what was the point..alikua halijui hili??
Kama ni tukio la kijinga au la kipuuzi lazima lisemweMnalikuza Sana hili tukio
Dah!..Legend alizivaa kutoka kambini! Wakati wa ukaguzi ili aingie, akqazivua na kuzificha mkononi! Alipoingia tu, akaanza tena kuziweka masikioni!
Hakika lilikuwa ni tukio la kushangaza sana. Mchezaji mkongwe kama yeye, anaingia uwanjani na kupoteza muda kuvaa hereni, badala ya kuipambania timu! Mpaka mwamuzi anamtoa nje akazivue! Lilikuwa ni tukio la aibu sana kwake
.Aisee Mimi sijaliona vyema hili tukio.
Nasikia huyu Bench warmer aliingizwa dakika za 70 na akaonekana anaingia huku anavaa hereni.
Yaani Timu yako iko nyumba ya bao moja unapata muda wa kujivika hereni?
Tena ukizingatia una miaka 34 na zaidi.
Basi huyu jamaa hafai hata kusajiliwa DTB Kama ni kweli.