Hebu Ngoja! Erasto Nyoni Aliingia Uwanjani huku akiwa anavaa Hereni?

Hebu Ngoja! Erasto Nyoni Aliingia Uwanjani huku akiwa anavaa Hereni?

Babu nyoni pale alizingua sana,halafu age ishaenda bado anavaa vaa mihereni!jamaa mshamba sana
 
Hawa kina Nyoni washachoka waonyeshwe mlango wa kutokea.
Wachezaji wanashindwa kuipambania timu , wamekalia mambo ya kipuuzi tu.
 
Hapa ndio utaona wachezaji walikuwa hawana uchungu na timu, fukunza wote wavivu kasoro inonga
 
Legend alizivaa kutoka kambini! Wakati wa ukaguzi ili aingie, akqazivua na kuzificha mkononi! Alipoingia tu, akaanza tena kuziweka masikioni!

Hakika lilikuwa ni tukio la kushangaza sana. Mchezaji mkongwe kama yeye, anaingia uwanjani na kupoteza muda kuvaa hereni, badala ya kuipambania timu! Mpaka mwamuzi anamtoa nje akazivue! Lilikuwa ni tukio la aibu sana kwake
Dah!..
 
Hizo hereni na yale mabangili ni hirizi za kisasa….
 
Jamaa alizingua sana yan ivi mwanaume unahangaika na hereni za nin wakat timu imefungwa
Jamaa kwa lile tukio anatakiwa aondolewe kwenye timu hana msaada..
 
Aisee Mimi sijaliona vyema hili tukio.

Nasikia huyu Bench warmer aliingizwa dakika za 70 na akaonekana anaingia huku anavaa hereni.

Yaani Timu yako iko nyumba ya bao moja unapata muda wa kujivika hereni?

Tena ukizingatia una miaka 34 na zaidi.

Basi huyu jamaa hafai hata kusajiliwa DTB Kama ni kweli.
.
FB_IMG_1611660294488.jpg
 
Back
Top Bottom