Hebu nikueleze jinsi wasanii wanavyojikuta wanaingizwa mishkaki makalioni bila kutarajia

Hebu nikueleze jinsi wasanii wanavyojikuta wanaingizwa mishkaki makalioni bila kutarajia

Aiwanda
Screenshot_2026-07-16-14-20-25-52.png
 
Hello!
Wasanii nimewataja kama sample tu . Suala la hili linagusa makundi yote hasa yale yanayosaka pesa na umaarufu.
Unapokwenda kwa mganga halisi kutafuta pesa mara nyingi atapigana upate umaarufu kwanza.
Umaarufu katika biashara, muziki, kazi, huduma za kikanisa ndio huleta pesa.
Kwa lugha nyepesi ni kwamba value(thamani) ya mtu hupimwa kwa umaarufu alionao.
Hata Mungu akitaka kukuinua anainua jina lako kwanza.
Leo CCM au chama chochote cha siasa kikialika wasanii kwenye kampeni zake kitawalipa dau tofauti kulingana na umaarufu wao.
Let's talk about the tille
Sasa vijana katika kusaka pesa huenda kwa waganga . Mganga atakupa masharti 2 au tasks 2 uchague moja.
Task ya 1.
Kutoa kafara
Hii vijana wengi huipiga chenga na kuchagua task nambari 2 ambayo inakuwa sealed na huwa haitekelezwi papo kwa papo.
Utaambiwa tu utakuwa unasafiri nje ya nchi kisha huko utakutana na mtu atakupa maelekezo nini cha kufanya.
Utaanza kupata pesa na umaarufu then safari itawadia. Watu watafund safari yako utapanda mwewe mpaka Dubai. Utapokelewa, it's your first time in Dubai, wahuni washafanya booking ya hotel. Kinachofuata hapo ni kuingizwa mishkaki makalioni.
Baada ya hapo ndo tayari huyo ndiye bwana wako rasmi.
Uzi ujao tawataja wasanii walioingizwa mishkaki makalioni kwa style hii.
Mambo mazito haya, Mimi siwezi kukupinga wala kuukubali , Maana Natafuta hela kwa nguvu na bado sizipati hadi nashangaa
 
Kuna mwaka fulani nilikua uwanjani na kocha maarufu aliyefundisha timu maarufu za hapa nchini kwetu ana jina la utani linaloanzia na J.

Zikaja stori kuna mwarabu anagawa gari kwa kila anayempa ndogo. Jamaa akasema kwa umaarufu wake na kuzunguka Tanzania hajakutana na mtu anayetoa gari akipewa ndogo.

Akasema yeyote kati ya tulio pale kama tuna mtu anatoa hata 2M apelekwe yeye akachukua 2M. Au kama vipi apelekwe kwa huyo mgawa gari.

Nikafikiria nikaona inamake sense. Ingekua kutoa ndogo deal mashoga wote wangekua matajiri
 
Back
Top Bottom