Hebu nikueleze jinsi wasanii wanavyojikuta wanaingizwa mishkaki makalioni bila kutarajia

Asimuliaye Mvua.....
Pole kaka....
 
Cc;Puff Daddy
 
Niko salama kabisa japo bado naanda vyuma vya hatari🔥 nataka nikiachia kichupa kisumbue soko nipige show za kutosha nikisha toa ep taka mwezi taanda tour yangu mwenyewe mikoa mitatu kujaribu soko kaka nimedhamiria kazi kazi
Bro hakuna mtu hatari kama aliegundua path yake na akaamua kuiendea iwe kwa mvua au kwa jua mawio au machweo anakua binadamu tofauti kabisa watu wanaweza wasikuelewe mwanzoni but kama nafsi inakusukuma kwenye hiyo njia ipe asilimia zote af chekshia dots zinavoanza kuunganika zenyewe! I support u bro 💯 spread your wings and fly my boy 💪
 
Kaka naamini Kwa uwezo wa MUNGU mpaka mwishon mwa mwaka ujao takua sio huyu alexido tena, tour tafanya hata kama tapata watu wachache ila nataka nipate billions of money kupitia mziki wallah MUNGU kanisukumia huko, changamoto bajeti ya tour ndio mtihani unapo anzia, inahitajika pesa hasa
 
Kila changamoto ina suluhisho, nilishawahi kukushaur anzia clubs na kuomba kuonesha uwezo kwenye show za wengine lazima uanzie sehem. Ukitaka exclusive yako kweli itakuagharimu anzia level yako pia anza kujenga network jua wasanii wawili wa3 apo dom..

Umesema una label, mengine wakusaidie miundombinu usijibebeshe mzigo mzito! Pia hujawahi nijibu unaondoka miondoko gani rap/singer? Pia kazi zako umekua mgumu ku share man hii Ina limit ushauri utaopewa! ila all the best 🤝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…