Hebu nikueleze jinsi wasanii wanavyojikuta wanaingizwa mishkaki makalioni bila kutarajia


Naimba amapiano, lengo ni kimbie haraka mana natumia kiswahili, English na kizulu, kaka nikijishisha sana kwenye club watanichukulia poa show za kupewa efu hamsini, ni Bora nife kisabuni ila show za ajabu sipandi, nawajua wabongo wakijua unahitaji, alafu mi nipo zenji sio Dom, kuleta kazi jf bado sio I kama ni sehem sahihi kutokana na historia ya NYUMA nilikutana na dada Mmoja humu jina kampuni tukafahamian tukapelekana Instagram yangu badae akanizunguka akahaki acc yangu bila kosa nikapoteza mambo yangu dah
 
Duh hatari ilikua mwanamke kweli ulithibitisha mana accnt hizi zina vioja, so unaimba style za kina dogo Rema wa Dotto Magari? Ku share kazi link yako si inaongeza visibility? Ukiwa msanii share kwa kilaa mtu sio kujificha unazidiwa na Civilian Coin bana na anaimba madudu? Huwezi kutoboa kwa kukaa na kazi ndani Mzee
 
Ndio kaka kutokana na hicho kisa nachukua tahadhari kabisa mana hii ni kazi yangu na nataka nifanye internationally hivo Najitahidi kua makini sana, kazi zitatoka tu kaka kwani bado upo nje ya nchi mkuu
 
Humu kuna watu wa kila aina, ni kuwa makini sana.
 
Ndio kaka kutokana na hicho kisa nachukua tahadhari kabisa mana hii ni kazi yangu na nataka nifanye internationally hivo Najitahidi kua makini sana, kazi zitatoka tu kaka kwani bado upo nje ya nchi mkuu
Me kurudi bado miaka kadhaa hadi vipengele vyangu vikae sawa panapo majaliwa nikirudi kazi ni kulea wanangu tu. Tuombeane kheri
 
Nasubiri uzi ujao utauleta lini ili nikukumbushe?
 
adriz de mbusii Malaria 2 Jagina ..kuna kafiri huku .. Eti mkienda ujombani kwa Mudi boy the mbususu kuhiji huwa mnakwenda kubutuliwa vijambio na Maswahaba😁
 
Kulikua na kafiri mkubwa sana kuliko wete kielimu na kifedha na kiakili, hivi sasa kasilimu kaingia ktk nuru na kutoka ktk giza
Baresa nini huyo ...maana jamaa alikuwa kafiri kweli kweli kama P diddy ...ana onga na dukua wanaume wenzie hadi ana wahonga misikiti na madrasa na kuwa jengea misikiti au madrasa ...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…