Hebu nipatie uzoefu hapa

Hebu nipatie uzoefu hapa

Thegame

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
2,273
Reaction score
2,398
Wakuu niko interested ku nunua share za bank ya CRDB, na nimekuwa nikizifuatilia kwa ukaribu kwa wiki 3 sasa. Japo kuwa zimekuwa zikipanda hadi Tshs 495 wiki ya jana, lkn wiki hii ziko kwenye 470 jambo ambalo sio zuri kiuwekezaji! Lkn bado naamini on the long run, zitapanda so bado nataka kuwekeza mtaji fulani pale!
Sasa hebu nishauri hapa
1. Je ni nunue hisa hizo kama mimi binafsi? Yaani thegame as a person au nitumie jina la kakampuni kangu kanakoitwa thegame Investiment LTD? Kuna faida na hasara zipi niki nunua kama person au kwa kupitia kijikampuni changu?? Ushauri wako ujikite kwenye masuala ya kodi pia!
2. Nikija kupokea faida si itakuwa imekatwa kodi kwenye business transactions za CRDB? Je na mimi faida ile itanilazimu kuilipia tena kodi??? Hebu toa ushauri tusaidiane kwa hili!
Asante!
 
mkuu achana nayo hiyo. tufanye real buzness nicheki 0713774746
 
mambo ya hisa za kampuni moja moja kwa Tanzania naona kama bado sana labda kama ulinunua wakianza kwa sh 100 sijui pili maana daima hawana faida na vile auditing ya haya makampuni sio wazi we mwenye vihisa vidogo ni sawa na hakuna. Kutambua hilo ndio imeanzishwa Umoja au UTT hao wanapokea hela zako na kukununulia kutoka haya makampuni hivyo zikuwa nyingi na wanaangalia wapi kwa kuwekeza. UTT ingawa sijaweka unaweza kuweka au kutoa muda wowote mradi utoe taarifa, hawa wengine wanaweza kukatalia kuwa mara hawauzi au hawanunui hisa kipindi fulani.....someone correct me if am on wrong track
 
Okey,! Ila mimi sijali sana ukubwa wa faida kwa sasa! Kama naweza kuipata sh 100 kwa kila hisa kwangu mimi inaweza kutosha! Wasi wasi wangu je baada ya kuipokea hiyo mia(100) nitakatwa kodi tena ?
 
Unakatwa kodi ya 5% kwenye dividends kwa kampuni zilizo DSE, naamini hizi ni sawa ukiwa ni wewe binafsi au kampuni yako inapata dividends, so kama share zako zitatoa dividends 5% inaenda kwa Pilato.

Kwenye ongezeko la bei ya share (capital gains) hakuna kodi, so ukinunua share at 100 ikapanda hadi 200 ukaiuza hakuna kukatwa kodi hapo.
 
mambo za Hisa mi sitaki kabisa kusikia lakin najua sana kuhusu Hisa.

Kilichonifanya kuchukia Hisa new rafik yangu alinunua Hisa kwa mamilion ya dollar ikatokea mtikisiko wa kiuchumi kampuni zilifirisika kabisa hakapoteza akawa kama chizi.
 
Mkuu soma material ya Warren Buffett maana huyu jamaa kafanya vizuri sana katika biashara hii. Npm then nitakuonesha amaa mwenye material haya anaweza kukupatia bure.
 
Wakuu niko interested ku nunua share za bank ya CRDB, na nimekuwa nikizifuatilia kwa ukaribu kwa wiki 3 sasa. Japo kuwa zimekuwa zikipanda hadi Tshs 495 wiki ya jana, lkn wiki hii ziko kwenye 470 jambo ambalo sio zuri kiuwekezaji! Lkn bado naamini on the long run, zitapanda so bado nataka kuwekeza mtaji fulani pale!
Sasa hebu nishauri hapa
1. Je ni nunue hisa hizo kama mimi binafsi? Yaani thegame as a person au nitumie jina la kakampuni kangu kanakoitwa thegame Investiment LTD? Kuna faida na hasara zipi niki nunua kama person au kwa kupitia kijikampuni changu?? Ushauri wako ujikite kwenye masuala ya kodi pia!
2. Nikija kupokea faida si itakuwa imekatwa kodi kwenye business transactions za CRDB? Je na mimi faida ile itanilazimu kuilipia tena kodi??? Hebu toa ushauri tusaidiane kwa hili!
Asante!

Nunua hisa za DCB... Ziko promising na benki inakua kwa kwa kasi...
 
nakushauri nenda kakate UTT hapo utakuwa umejiwekea sehemu mzuri kwani waweza kununua hisa kwa makampuni mengine ikawa imekula kwako
 
Unakatwa kodi ya 5% kwenye dividends kwa kampuni zilizo DSE, naamini hizi ni sawa ukiwa ni wewe binafsi au kampuni yako inapata dividends, so kama share zako zitatoa dividends 5% inaenda kwa Pilato.

Kwenye ongezeko la bei ya share (capital gains) hakuna kodi, so ukinunua share at 100 ikapanda hadi 200 ukaiuza hakuna kukatwa kodi hapo.

Mkuu nashukuru sana kwa ufafanuzi huu
 
mambo za Hisa mi sitaki kabisa kusikia lakin najua sana kuhusu Hisa.

Kilichonifanya kuchukia Hisa new rafik yangu alinunua Hisa kwa mamilion ya dollar ikatokea mtikisiko wa kiuchumi kampuni zilifirisika kabisa hakapoteza akawa kama chizi.
Mkuu sasa unashauri ni heri viji akiba vibaki tu kuwa salio bank??
 
nakushauri nenda kakate UTT hapo utakuwa umejiwekea sehemu mzuri kwani waweza kununua hisa kwa makampuni mengine ikawa imekula kwako

UTT bado sijaelewa wanafanyaje, ni ma-broker?? Au wanafanyaje??
 
Back
Top Bottom