Wakuu niko interested ku nunua share za bank ya CRDB, na nimekuwa nikizifuatilia kwa ukaribu kwa wiki 3 sasa. Japo kuwa zimekuwa zikipanda hadi Tshs 495 wiki ya jana, lkn wiki hii ziko kwenye 470 jambo ambalo sio zuri kiuwekezaji! Lkn bado naamini on the long run, zitapanda so bado nataka kuwekeza mtaji fulani pale!
Sasa hebu nishauri hapa
1. Je ni nunue hisa hizo kama mimi binafsi? Yaani thegame as a person au nitumie jina la kakampuni kangu kanakoitwa thegame Investiment LTD? Kuna faida na hasara zipi niki nunua kama person au kwa kupitia kijikampuni changu?? Ushauri wako ujikite kwenye masuala ya kodi pia!
2. Nikija kupokea faida si itakuwa imekatwa kodi kwenye business transactions za CRDB? Je na mimi faida ile itanilazimu kuilipia tena kodi??? Hebu toa ushauri tusaidiane kwa hili!
Asante!