Hebu nipeni ukweli wa hii mimba

Kuna ukweli flani hapa
 
WAJAMAA WA KUPEANA DAWA ZA UZAZI HUWA WANAPAKA DAWA KWENYE DUSHE KISHA ANAKUTUMBUKIZIA UKENI HAHAHAHA
 
Si alitaka mtoto? Mke kapata mimba ili amzalie mtoto, sasa mwaulizia mimba yanani wakati ni mke wake? Kitanda hakizai haramu. Mke karudi ana mwezi, mimba imepimwa ina mwezi huo ni ushindi shangilieni hasa wewe wifi mtu. Mshukuru Mungu na umpongeze kaka yako kwa kuweka kiluwiluwi hai na wifi yako kukubali kuingiziwa kiluwiluwi.
 
Walahi usiseme hivyo! Mie ndio nilikuwa na hofu kuwa nimekukwaza maana sio kwa ukimya huo jamani?
Vyovyote utakavyo au ulivyoamua.... mi bado nakupenda na ntaendelea kukupenda daima
 
Kwani huyo kaka yako hajacheka na nyavu tangu shemejiyo arudi?
Miaka yoote hiyo alihaha kupata mtoto, sasa mimba imenasa wasiwasi wa nini??
 
mambo mengine yanachekesha kweli akapige dushe ndio nn
 
Binadamu ni wanafiki sana umehangaika miaka yote hiyo alafu leo Mungu kakujalia badala ya kumshukuru unautilia mashaka uwezo wake? Huo ni unafiki hali ya juu kupita hata wa shetani.
 
Basi mdogomdogo.... mwanaume kuusema udhaifu wa mwanaume mwenzie watu wanaweza kukufikiria vibaya ujue...
Basi wewe utakua mwanaume wa Dar tu sasa maana hakuna namna?!
 
Hahahaha Vijana wa bongo daslama mnataabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…