Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I am speechless ! Hakuna upuuzi na uhuni kushinda huu !...kwa kweli inasikitisha!!
Huyu mwimbaji wa nyimbo zadini sijui amefunuliwa kwamba JK na crew yake wanafaa, au ndo kalipwa!
We are suddenly doomed!
Hao watoto wa shule wanatumiwa vibaya, kwanza wote ni wa kike halafu wakifeli wanataka waingie chuo kikuu kwa favour. Je, wote wamefika hapo au wengine wamekwama sehemu na pia je wote watarudi bila kupewa soseji na meat balls mbili!?
Naona baadhi ya waendesha pikipiki wanavunja sheria (hawavai helmets)..
Umenichekesha sana Mwanamayu... "Meat balls 2 na sausage 1" kisha nao wanampatia Samosa Ha ha ha haaa...
Njaa inamsumbua huyo Frola Mbaya na Mumewe.Huyu mwimbaji wa nyimbo zadini sijui amefunuliwa kwamba JK na crew yake wanafaa, au ndo kalipwa!
We are suddenly doomed!