Elections 2010 Hebu ona huu upuuzi

Elections 2010 Hebu ona huu upuuzi

Naona wanafunzi wa Sekondari! Hivi wanaruhusiwa kujihusisha na kampeni za wazi wazi
 
Huyu mwimbaji wa nyimbo zadini sijui amefunuliwa kwamba JK na crew yake wanafaa, au ndo kalipwa!
We are suddenly doomed!
 
wanasema wanafunzi wa vyuo vikuu
vyuo vikuu wanavaa unform,walafu wabichi namna hiyo?
 
Ngabu umemaliza maneno ...........ni upuuzi.
 
Ni njaa yake, kwani kwa hadhi yake alitakiwa kuliimbia taifa na si CCM na wanachama wake. Hao watoto wa shule wanatumiwa vibaya, kwanza wote ni wa kike halafu wakifeli wanataka waingie chuo kikuu kwa favour. Je, wote wamefika hapo au wengine wamekwama sehemu na pia je wote watarudi bila kupewa soseji na meat balls mbili!?
 
Naona baadhi ya waendesha pikipiki wanavunja sheria (hawavai helmets)..
 
Hivi nchi hatuna sheria zinazozuia upuuzi huu? Tume ya uchaguzi ni kitu gani hasa wanafanya? Disgusting!!!
 
Umenichekesha sana Mwanamayu... "Meat balls 2 na sausage 1" kisha nao wanampatia Samosa Ha ha ha haaa...
 
Hao watoto wa shule wanatumiwa vibaya, kwanza wote ni wa kike halafu wakifeli wanataka waingie chuo kikuu kwa favour. Je, wote wamefika hapo au wengine wamekwama sehemu na pia je wote watarudi bila kupewa soseji na meat balls mbili!?

Kwani umesahau kuwa wana KIHEREHERE? Hicho ni kiherehere chaooo....!!!
 
Naona CCM imeamua kukiuka taratibu za kampeni kwa kuwatoa wanafunzi madarasani ili waende kuipigia kampeni. Haya yangefanywa na upinzani, mwalimu mkuu angekuwa hana kazi, afisa elimu angehamishwa na mengine mengi. Hii nchi inahitaji nguvu ya ziada kuikomboa.

Nasikia kuna baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu ambao bado hawajapata mikopo yao hadi hivi leo. Lakini unashangaa unapoona kuna mabango ya shirikisho la vyuo vikuu hapo likiunga mkono upuuzi huu. Kwa kweli nikifikiria mambo yanayofanywa na watanzania, naona kabisa ukombozi wa nchi hii unahitaji zaidi nguvu kuliko elimu.
 
NN asante sana kwa kutuwekea hii, ila machozi yamenitoka kwa ujinga nilioona. Nchi ikiwa na watu wajinga kiasi hiki maendeleo mtayasoma kwenye magazeti tuu
 
Huyu mwimbaji wa nyimbo zadini sijui amefunuliwa kwamba JK na crew yake wanafaa, au ndo kalipwa!
We are suddenly doomed!
Njaa inamsumbua huyo Frola Mbaya na Mumewe.
Wamedhihirisha kuwa wapo after money na sio after God.
 
Kwa kweli inasikisitisha kuona wanafunzi ambao wanakosa vifaa vya kujifunzia kama vile, maabara na vifaa vya maabara wanashiriki kwenye kampeini,sijui watanzania tutafunguka lini fahamu zetu kuona wapi tulipo na tunaelekea wapi.Bila kufanya mabadiliko ya kweli tutendelea kulalamika tu.

It's me son of man.
 
Back
Top Bottom