Hebu Sikieni Furaha Yangu

Nini kilicho wapelekea wakatengana na wewe ukawarudisha?
Jamaa umewasiliana nae anasema kilicho sababisha watengane amesha kisolve?

tulishazungumza naye mamb mengi sana na sioni busara yoyote kuyaweka hapa kama yalivyo ndio maana nikatoa muhtasari tu. but nionavyo ile nyumba na kwa hatua hii waliyofika, naamini hicho kilichowatenga watakisolve. tuendelee kuwaombea na kuwapa support yoyote inayoitajika.

nasisitiza tena, siyo mimi niliyewarudisha, ni Mungu mwenyewe amewarehemu watoto wake. mimi nimefurahishwa tu na reheme hizi za Mungu wetu zinazodumu vizazi hata vizazi
 
Furaha yako ilikuwa nini?
Kuwaunganisha au
kukwepa kutendwa?
 
Furaha yako ilikuwa nini?
Kuwaunganisha au
kukwepa kutendwa?

Jamaa alikaa kooni alikuwa anamtaka sasa walipo rudiana na mke wake huyu akawa anapumua na akapata sababu ya kumpiga chini
 
Miss Judith nikusifie kwa kitendo cha aina yake; mpo wachache sana wa aina yako, tafadhali pokea pongezi zangu za dhati!
 
Miss Judith nikusifie kwa kitendo cha aina yake; mpo wachache sana wa aina yako, tafadhali pokea pongezi zangu za dhati!

nimezipokea kaka na asante sana, sifa na utukufu apewe Bwana, hakika Mungu ni mwema sana
 
Furaha yako ilikuwa nini?
Kuwaunganisha au
kukwepa kutendwa?

Jamaa alikaa kooni alikuwa anamtaka sasa walipo rudiana na mke wake huyu akawa anapumua na akapata sababu ya kumpiga chini

So, if your time had come when you met him, you would have acted otherwise?

dear wapendwa, kindly note that maswali yote haya yameishajibuwa vizuri kwenye post zangu zilizotangulia humuhumu kwenye hii thread, please search. stay blessed
 
Si kuna swala la kusubili mama maana subira yavuta kheri shostito au sio?

Ni kweli Mkuu subira yavuta heri lakini pia kuna ile Biological clock ticking very fast. Natumai dada yetu Judy yake bado ina masafa marefu hivyo anaweza kuendelea kusubiri bila ya kuwa na wasiwasi.
 
halafu unakomba mzigo au...?
 
Be blessed Miss Judith.
 
Kubali kuwa mke wa pili kama yule wa Dokta Silaa, kanisa si linaruhusu? Na kama haliruhusu muulize Dokta Silaa akupe maujanja aliyotumia mpaka kuweza kuwa na nke wa ntu.
 
Kubali kuwa mke wa pili kama yule wa Dokta Silaa, kanisa si linaruhusu? Na kama haliruhusu muulize Dokta Silaa akupe maujanja aliyotumia mpaka kuweza kuwa na nke wa ntu.

umepotea?? rudi kule kwenye siasa haraka
 
Nazidi kuamini mama kwamba unabusara sana , u r really a philosopher. tulia tu utampata aliye wako! Na hiyo signature yako ni sala tosha!
 
Kubali kuwa mke wa pili kama yule wa Dokta Silaa, kanisa si linaruhusu? Na kama haliruhusu muulize Dokta Silaa akupe maujanja aliyotumia mpaka kuweza kuwa na nke wa ntu.

Mungu wangu hivi huyu mtu ana akili kweli?
 
Nazidi kuamini mama kwamba unabusara sana , u r really a philosopher. tulia tu utampata aliye wako! Na hiyo signature yako ni sala tosha!

asante kaka, ubarikiwe sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…