Ms Judith
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 2,563
- 929
- Thread starter
- #61
Nini kilicho wapelekea wakatengana na wewe ukawarudisha?
Jamaa umewasiliana nae anasema kilicho sababisha watengane amesha kisolve?
tulishazungumza naye mamb mengi sana na sioni busara yoyote kuyaweka hapa kama yalivyo ndio maana nikatoa muhtasari tu. but nionavyo ile nyumba na kwa hatua hii waliyofika, naamini hicho kilichowatenga watakisolve. tuendelee kuwaombea na kuwapa support yoyote inayoitajika.
nasisitiza tena, siyo mimi niliyewarudisha, ni Mungu mwenyewe amewarehemu watoto wake. mimi nimefurahishwa tu na reheme hizi za Mungu wetu zinazodumu vizazi hata vizazi