St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Ama kweli Mtakatifu nimezeeka hivi nilikuwa wapi mpaka hili neno likanipita,nisubiri chumbani tumalizane huko mama................
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtakatifu mi niko likizo bwana, huko chumbani huko mmmmmh................
Chumbani usipaogope mama,na likizo sikubaliani nayo ni vyema tu maisha yakaendelea kama zamani kwanini ujitese sababu ya mtu ambaye hakuwa na nia na wewe,kumbuka kuwa bado unakula unashiba na chakula unachokula kinatengeneza hormones za mwili wako ili uwe kamili hivyo kujipa likizo ni sawa na kujitesa wakati huyo aliyekufanya uwe hivyo yeye anaendelea na maisha kama kawa..........
Kwa hiyo Mtakatifuuuuuuuuuuuuuu!!!!
Sasa huko chumbani ndo likizo tuimalizie humo auuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha haha!!!!
Duuu, ngoja nimalizie likizo mwezi huu aisee!!
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!!
Mmmmh, na huo mchakamchaka wako, nitauweza kweli,
Sijasahau ule ugonjwa wako aisee, au umepona...............................!!!
Hilo la kupangilia maisha nakiri ni kweli, lakini nahisi huyu mtu nimemsamehe, ingawa sitaki kumuona, wala kusikia habari zake!!!
LD tulia moyo kabisa.hupaswi kujinyima raha tafuta mpenzi wa kweli na utampata!wapo wanaume wengi sana waaminifu!utapata na utasahau yote yaliyotokea!being single sometimes ni kuzuri sana ila sio wakati wote.kila la kheri mrembo
Shaka ondoa mama,tutakimbia polepole si unajua hata gwaride lina mwendo wa pole na mwendo wa kasi?Tutaanza na mwendo wa pole mpaka pale .................................
Mh!! pole sana LD ila hiyo bwana ni ajali kazini tu,je ukimaliza likizo ukakutata na mvunja moyo mwingine utajipa likizo tena kama hiyo?samehe sahau,weka moyo wazi akija kijana mwingine mpe upendo wote ila ile kitu uwe mchoyo kidogo,unajua nini sometimes mwanaume akikukamata sana na akakumaliza atasubiri nini sasa utakacho m surprise nacho?alafu anaona kama yeye sio mmeo ushamwachia kila kitu utamshawishije huwezi toa hiyo offer kwa mtu mwingine?Yapomambo mengi tu yakupima mapenzi ya kweli hiyo kitu ni muhimu but sio lazima.Nakutakia kila raheli:decision: