Hebu sikieni ninavyowaza!!

Hebu sikieni ninavyowaza!!

Pole sana LD kaza BUTI Mungu amekuandalia mwingine atakayeziba hiyo nafasi iwapo utaendelea KUMUHESHIMU! Pole tena Mamii

Barikiwa sana, nami naomba anipe neema ya kushinda na zaidi ya kushinda.
 
Una umri gani? Lets make a simple comparison. Imagine uombe ban ya miaka mitano hapa JF ukirudi sijui utaikutaje? Unafikiri wanaJF would stop waiting for you or they will just move on? Tena ukirudi JF baada ya miaka mitano utakuta kumeongezewa applications mpya, which you need to learn first.

Umesema kweli kabisa,
Thanks!!
 
Jamanie, nilidhani kwenda Kariakoo ni lazima upitie ubungo then Moro road kumbe sio. Ni ushamba wangu tu! Kumbe hata dirisha ni mlango ikibidi? Kumbe pia mwenye nyumba aweza kuwa mpangaji? Dereva kuwa abiria? Without no further clarification, through this topic I would like to salute all women for being so clever, yet so prone to some circumstances

Raia Fulani, Nakutafuta uje ufanye hichi kitu ulichoambiwa na Gaga hapa!!!!

Nadhani kuna tofauti kati ya ku discuss na ku clarify/elaborate. Ukinisoma vyema nimeomba udhuru wa kutofafanua zaidi. Jaribuni mkishindwa nitawasaidia
 
Mh!! pole sana LD ila hiyo bwana ni ajali kazini tu,je ukimaliza likizo ukakutata na mvunja moyo mwingine utajipa likizo tena kama hiyo?samehe sahau,weka moyo wazi akija kijana mwingine mpe upendo wote ila ile kitu uwe mchoyo kidogo,unajua nini sometimes mwanaume akikukamata sana na akakumaliza atasubiri nini sasa utakacho m surprise nacho?alafu anaona kama yeye sio mmeo ushamwachia kila kitu utamshawishije huwezi toa hiyo offer kwa mtu mwingine?Yapomambo mengi tu yakupima mapenzi ya kweli hiyo kitu ni muhimu but sio lazima.Nakutakia kila raheli:decision:

Mkuu hapo mbona unataka kuharibu sasa....?? Awe mchoyo tena sasa tutaishi vipi wakati tunasubiria hiyo ndoa..??
 
Huyu chaja muongo tu. Ile kitu inaleta wahusika karibu zaidi esp kama kitu mvuto. So wadada mtukubalie haraka
 
Mkuu hapo mbona unataka kuharibu sasa....?? Awe mchoyo tena sasa tutaishi vipi wakati tunasubiria hiyo ndoa..??

Mnamuonea charger wa watu.......mi namsuport......PM na RF!!
 
Aaaaaaaa....,, mi nilidhani unanisupport peke yangu kumbe na RF tena........????

Hapana nilikuwa naamanisha hiviiii!!! PM na RF acheni kumuonea charger!!! Mi namsaport kwamba natakiwa niwe mchoyo!!!!

We si tunayamaliza huku huku chumbani!!!!!
 
Huyu chaja muongo tu. Ile kitu inaleta wahusika karibu zaidi esp kama kitu mvuto. So wadada mtukubalie haraka

Nyie vijana (Raia Fulani na Paka Mweusi) minawasiwasa kama sio alshabab nyie basi mtakua unauhusiano na Joseph Kony,jamani hamwonei huruma huyu kiumbe naona kama tatizo lake ni genuine,samahani wakuu kwa kuharibu deal lakini ile kitu labda nlikua na maanisha saa,au simu so mme over-react.
 
Katika thread fulani(kama si wewe I am sorry) ulisema wewe huwezi mfulia mwanamme "kufuli" yake, angalia sisi wanaume wakati fulanii twa tekwa na vitu vidogo. Take this point utakapoanzisha uhusiano mwingine. Hapa nimetolea "kufuli" kama mfano tu, kikubwa ni kwamba huu ubeijingi ukizidi wanaume wanaona mhhhh!
 
Mh!! pole sana LD ila hiyo bwana ni ajali kazini tu,je ukimaliza likizo ukakutata na mvunja moyo mwingine utajipa likizo tena kama hiyo?samehe sahau,weka moyo wazi akija kijana mwingine mpe upendo wote ila ile kitu uwe mchoyo kidogo,unajua nini sometimes mwanaume akikukamata sana na akakumaliza atasubiri nini sasa utakacho m surprise nacho?alafu anaona kama yeye sio mmeo ushamwachia kila kitu utamshawishije huwezi toa hiyo offer kwa mtu mwingine?Yapomambo mengi tu yakupima mapenzi ya kweli hiyo kitu ni muhimu but sio lazima.Nakutakia kila raheli:decision:

Nyie vijana (Raia Fulani na Paka Mweusi) minawasiwasa kama sio alshabab nyie basi mtakua unauhusiano na Joseph Kony,jamani hamwonei huruma huyu kiumbe naona kama tatizo lake ni genuine,samahani wakuu kwa kuharibu deal lakini ile kitu labda nlikua na maanisha saa,au simu so mme over-react.
Mkuu unakinzana na maandishi yako hapo

Aaaaaaaa....,, mi nilidhani unanisupport peke yangu kumbe na RF tena........????
Nadhani hata kule kwenye PM hauko peke yako kaka

Mnamuonea charger wa watu.......mi namsuport......PM na RF!!
Na wewe uiishie kwenye maneno tu. Matendo muhimu
 
Katika thread fulani(kama si wewe I am sorry) ulisema wewe huwezi mfulia mwanamme "kufuli" yake, angalia sisi wanaume wakati fulanii twa tekwa na vitu vidogo. Take this point utakapoanzisha uhusiano mwingine. Hapa nimetolea "kufuli" kama mfano tu, kikubwa ni kwamba huu ubeijingi ukizidi wanaume wanaona mhhhh!

Pole kaka angu, nahisi sijawahi kusema neno hilo, wala sina kawaida ya kujisemea hivo, manake naamini tunaishi kwa neema ya Mungu tu, Roho I radhi lakini mwili ni dhaifu, na nikiona nashinda vishawishi na majaribu najua nimeshinda kwa kuwezeshwa sio kwa sababu ya ujanja wangu.

Nashukuru kwa ushauri, mi mambo ya haki sawa kati ya mwanamke na mwanaume hasa kwenye mahusiano nadhani halipo. Mwanaume atabaki kuwa kichwa tu, Lakini msituonee kwa sababu tuna mahali pakusema sasa!!
 
Teh! teh! RF hili ni jamvi mkuu ,kucheka,kununa siku zinaenda watu tunajifunza vitu.Minafikiri wadau wametoa michango mizuri tu na mpaka mtu kaingia JF inamaana akili yake inamtosha tu kufanya maamuzi ya msingi katika vitu tofautitofauti.Kwa maana hiyo mtoa mada mwenyewe ndiye atajua cha kufanya.
Mkuu unakinzana na maandishi yako hapo

Nadhani hata kule kwenye PM hauko peke yako kaka

Na wewe uiishie kwenye maneno tu. Matendo muhimu
 
Back
Top Bottom