LD
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 3,014
- 578
- Thread starter
- #21
kujipa likizo ni kujiongezea stress....
it's like a woman whose kid dies JUST AFTER giving birth,halafu ''akajipa likizo'' ya miaka kadhaa ya kutokuwa na mtoto....
i'm telling you my dear.....UNAPATA MADHARA MAKUBWA SANA KISAOKOLOJIA
Mi nilidhani, napunguza stress, kwa sababu nimejiona nimejifunza mengi kuhusu wanaume,
Mfano mimi nilikuwa namwamini mtu asilimia mia moja, nikidhani nilivyomwaminifu mimi ndivyo na mtu mwingine alivyo.
Nilikuwa siamini kama mwanaume anaweza akawa na wasichana/wanawake wawili wa tatu kwa pamoja, hata kama anamuabudu Mungu,
na kuhudhuria kanisani. Lakini sasa nimejua.