kujipa likizo ni kujiongezea stress....
it's like a woman whose kid dies JUST AFTER giving birth,halafu ''akajipa likizo'' ya miaka kadhaa ya kutokuwa na mtoto....
i'm telling you my dear.....UNAPATA MADHARA MAKUBWA SANA KISAOKOLOJIA
Kila kitu ni uamuzi LD, kama umeamua utaweza, miaka mitano siyo mingi ukiwa unaishi na amani....................
fuata nafsi yako. kupumzika hasa baada ya kuvunjika moyo ni kuzuri sana ingawa wadada wengi hawataki kufanya hivyo, na matokeo yake unajikuta unahama kwa mkaka mmoja baada ya mwingine maana kila mwanaume unakuwa humwamini.
My advice to u LD, take as much break as you can, hata ikifika miaka 10, so long as you are happy.
Eti eeh, ukinihakikishia nitakuwa mtakatifu, nitaendelea hadi miaka 20.
Hivi LD, heart breaking huwa ni kwa akina dada tu, au hata wanaume?
Naona akina dada wengi ndo wahanga sana wa hii kitu!
sure sure mtakatifu roya....Hebu mcheki Carina Teai hapo juu.....
kukimbia tatizo sio ufumbuzi wa tatizo.....usikimbia mahusiano, ni kitu cha kimaisha....usikwepe (labda kama unaamua kufanya mfungo kama wa mama tereza)....
Mapenzi sio 'all sweet'...kuna changamoto zake...zikabili...muhimu usiache moyo ukaamulia akili yako.....
If that is the case, Mi nakuambia usisubiri mpaka miaka mitano, kwa sababu sioni kile utakachoweza kukipata ama kukizuia baada ya miaka mitani, maana hata sasa ivi unaweza kupenda kwa taadhari na mambo yakaenda mswano vile vile baada ya miaka mitano unaweza kupenda kwa taadhari na ukaishia kuumizwa tena!!Nahisi nitapenda kama zamani, lakini kwa tahadhari sana.
Nafasi ya Mungu ibaki pale pale pia.
kwani mkuu....Ni kweli bacha, wahanga sana ni kinadada kwa sababu ya jinsi tulivyoumbwa,
na jinsi sisi tunavyolichukulia swala la mahusiano, hasa kwa First LOVE.
Manake nina uhakika sitarudia makosa niliyofanya mwanzo, kwa hiyo hata ikitokea maumivu yake,
hayatakuwa mabaya kivileee!!
Unaweza sana mimi hiyo miaka niliwahi kabisa kukaa toka 19... mpaka 2001. Ila hiyo sababu ilikuwa bab kubwa na sitaweza kusahau mpaka naingia kaburini maana nilikuwa nachukia kila mwanaume.
yaani we dada unaplan miaka mitano....again unakuwa na signature imeandikwa
Who knows what tomorrow has to offer??
noted!....
kwenye bold hapo ni UPOTOSHAJI.....!
mi sitaki kuamini kuna maisha ya ''being happy'' kwenye hii likizo.....
If that is the case, Mi nakuambia usisubiri mpaka miaka mitano, kwa sababu sioni kile utakachoweza kukipata ama kukizuia baada ya miaka mitani, maana hata sasa ivi unaweza kupenda kwa taadhari na mambo yakaenda mswano vile vile baada ya miaka mitano unaweza kupenda kwa taadhari na ukaishia kuumizwa tena!!
Mshiki mi katika hili sikushauri kabsaa usubiri hiyo miaka! Happiness can not be guranteed my dia after all five years! Enyoy life bana!
Ni kweli CT, I dont know what tommorow has to offer lol.
Na ndio maana nimeona nisife na kamba shingoni, hebu ngoja nitolewe tongotongo,
kwenye hichi ninachokiwaza. Manake kweli niko siriazi, hata mtu anipe nini saa hii sitaki kusikia neno I Love you!!
Je uamuzi wangu wa kujipa likizo ni sahihi?
Angalizo Marufuku kunitania Broken Heart!! Umesikia GY, Asprin, TF, Askofu na Teamo T, bila kumsahau Bigirita. Mjukuu mtiifu umesikia!! na wewe St. RR.
Ni kweli CT, I dont know what tommorow has to offer lol.
Na ndio maana nimeona nisife na kamba shingoni, hebu ngoja nitolewe tongotongo,
kwenye hichi ninachokiwaza. Manake kweli niko siriazi, hata mtu anipe nini saa hii sitaki kusikia neno I Love you!!
Kaka nimekuelewa lakini sasa naona kama miaka mitano itakuwa imenisaidia kujifunza zaidi sijui.