sure sure mtakatifu roya....
halafu katika zama hizi za maisha mafupi KWANIN UJIFUNGIE KWENYE KISIWA CHA UPWEKE KWA MUDA WOTE HUO?...
Sio sahihi kabisa jaribu kucheck na spare tyre
Sijui kwanini nahisi hivi.....
Nahisi LD kamwona mr. right....sasa anataka tumtie moyo kukubali kwamba ameanza kupenda kabla ya muda aliojiwekea haujaisha....
Hizi big ups hapa JF huwa zinanikumbusha kipindi cha salamu redio Tanzania na Malima Ndelema
Hapo sasa, mi anaposema kua hatarudia tena makosa aliofanya mwanzo na keshajifunza kwa nini asubiri five years? Eti Carina- Bajaji nisaidie hapo!kwani mkuu....
hebu tupe uzoefu hapa....
ULIFANYA MAKOSA GANI?
tatizo lako ni kwamba ''maisha umeyapangilia sana''...
lakini pia tatizo kubwa ni kwamba UNA KINYONGO KIKUBWA SANA NA HUYO ALOKUTENDA.....!na by the look ninaona wazi kabisa kwamba UNATAKA KUFANYA KAMA REVENGE HIVI...
MSISITIZO:sijaona hata chembe ya ''amani'' moyoni mwako....neither do i see ''msamaha''...naona vita inaendelea!utakachokifanya baadae ni kikubwa sana (kwa utabiri wangu)....naogopa kukiandika hapa
The Following User Says Thank You to carina-TI For This Useful Post:
Memo (Today)
kwani mkuu....
hebu tupe uzoefu hapa....
ULIFANYA MAKOSA GANI?
Kwanza nilimuamini asilimia mia moja. Kumbe hakuwa vile nilivyokuwa naamini.
Nilijitoa sana kwake, nilimchukulia kama mume, badala ya rafiki, boyfriend au mchumba tuseme.
Niliweka malengo ya ndoa mbele zaidi, kabla hata sijamfahamu vizuri tuseme.

tehe tehe! highway!hahahahahaha!
ee banaa eeh!avata hiyo ndugu yangu
salimia KOROGWE hapo
mkuu swalamaa?
ukimwona klorokwini sehemu mwambie anipigie.....nina ishu nae:wink2:
tatizo lako ni kwamba ''maisha umeyapangilia sana''...
lakini pia tatizo kubwa ni kwamba UNA KINYONGO KIKUBWA SANA NA HUYO ALOKUTENDA.....!na by the look ninaona wazi kabisa kwamba UNATAKA KUFANYA KAMA REVENGE HIVI...
MSISITIZO:sijaona hata chembe ya ''amani'' moyoni mwako....neither do i see ''msamaha''...naona vita inaendelea!utakachokifanya baadae ni kikubwa sana (kwa utabiri wangu)....naogopa kukiandika hapa
hapa ulikosea.....!Kwanza nilimuamini asilimia mia moja. Kumbe hakuwa vile nilivyokuwa naamini.
sasa mama.....Nilijitoa sana kwake, nilimchukulia kama mume, badala ya rafiki, boyfriend au mchumba tuseme.
hivi mama.....!Niliweka malengo ya ndoa mbele zaidi, kabla hata sijamfahamu vizuri tuseme.
Ha ha ha ha!!! Napenda ga watu wanaojua kuhisi!!
:A S 13::A S 13: LD na mimi tunafanana....duh,kazi kweli kweli.....duniani wawili wawili i swear.....maisha ni shule mwenzangu...ndo ushajifunza....:hand:
Hilo la kupangilia maisha nakiri ni kweli, lakini nahisi huyu mtu nimemsamehe, ingawa sitaki kumuona, wala kusikia habari zake!!!