Hebu sikieni ninavyowaza!!

Hilo la kupangilia maisha nakiri ni kweli, lakini nahisi huyu mtu nimemsamehe, ingawa sitaki kumuona, wala kusikia habari zake!!!

yaani ninyi wakinamama mnashida sana.....!sisi wanaume tunaosoma katikati ya mistari tunajua kuwa:
1)-bado unampenda sana tena sana
2)-hujamsamehe!hujamsamehe kwakuwa ...(rejea point nr moja)

YUPO KWENYE DAMU YAKO HUYO MTU........!
HE DRIVES YOU CRAZY.......!you know why....?
 
Nakiri nilikosea sanaaaaaaaaaaaaaaa!!!
Na ndio maana nikaona ngoja nijipe likizo nijifunze kutokana na makosa hayo,
na nina Imani hayatajirudia kamwe.
Nakubali, nilikuwa sina akili iliyopanuka kwenye malavidavi haya.
 
Hii thread babu anaruhusiwa kuchangia?:A S 13::A S 13:

:rain::rain::rain:
 
Thanks Michelle, nimekupata na ushauri wako hapo juu, ee bwana unajiingiza mzimamzima kwa lijamaa halafu daaaaa...........

mi kuna wengine nilikuwa najiona nikilea nao watoto na tukivishana pete kanisani.....uhusiano ulivyoisha wala sijui....wanaume....salute!!!
 
Thanks Michelle, nimekupata na ushauri wako hapo juu, ee bwana unajiingiza mzimamzima kwa lijamaa halafu daaaaa...........
kwa nini ulijiingiza mzima mzima?
kichwa chako kinapanga, mwili una-respond halafu unafikiri mwili uki-respond ndo umesha-share na mwenzako ulichowaza?
Tatizo lipo hapo sasa! Ongea mama, semezana na mwenzio, usijiamulie tu kuwa huyu ni mume moyoni mwako. halafu mapenzi ya Mathematics na physics si unajua huwa yanaisha mara baada ya kukosekana mathematics na physics?
 
yaani wanafanana mno na kwinini hata siwezi kumtofautisha kolokwini ni yupi, nitakachofanya ni kuwaambia wote.

hahahaha!haya bana.....

naomba ile avata ya mizungu ikishangilia thead za klorokwin
 
hebu msome my dia Micheele hapa chini

Nakubaliana na ninyi asilimia mia moja kaka, na ninaamini wakati unaamua mambo, yawezekana nikabadilika kabisa,
likizo ikaisha, au ikaendelea hadi miaka 10.
 
Hii thread babu anaruhusiwa kuchangia?:A S 13::A S 13:

:rain::rain::rain:

babu si unaona inawezekana? tatizo ni kuamua tu, ukiamua napumzika unaweza, yaani baiolojia haina say kwa mwili wako........ mfungo unawezekana, ni maamuzi tu
 
ld naomba upunguze muda wa hiyo likizo ni ndefu mno,,,nna kaka yangu hatakubrek hat tena,,lol!otherwise u need to move on ld if n only if,u have released.open ur heart for another chance with positive attitude,cheers
 
Sio kweli hata kidogo!!!
Na kama Mungu hakuwa upande wangu, nahisi ningemfanyia kitu kibaya sana,
Kwa jinsi nilivyokuwa najiona amenipotezea muda na malengo ya maisha yangu.

Lakini naishukuru Neema ya Mungu, sikufanya kitu nilichokuwa nafikiria kukifanya.
Sidanganyi wala sitaniii, nimemsamehe kama mwanadamu mwingine tu wa kawaida, lakiniiiiiiiii mmmh, mwache Mungu tu
aendelee kutusaidia viumbe wake!!!
 
ld naomba upunguze muda wa hiyo likizo ni ndefu mno,,,nna kaka yangu hatakubrek hat tena,,lol!otherwise u need to move on ld if n only if,u have released.open ur heart for another chance with positive attitude,cheers

:A S 13::A S 13::rain::rain:
 
mi kuna wengine nilikuwa najiona nikilea nao watoto na tukivishana pete kanisani.....uhusiano ulivyoisha wala sijui....wanaume....salute!!!

hahahahahaa! umeonaeee!!!
 
mi kuna wengine nilikuwa najiona nikilea nao watoto na tukivishana pete kanisani.....uhusiano ulivyoisha wala sijui....wanaume....salute!!!

Acha tu my dear, mi mtu anayeitwa mwanaume hapa duniani Mungu angeniuliza awape siku ngapi za kuishi ningesema 21 tu.
 
Pole DA, nachoshukuru ni vile naona inawezekana, baada ya kuona ninyi mmeweza.

Jipe moyo utashinda usijali kabisa unaweza ila kama ni sababu kubwa mno kama yangu. Ila leo nimekumbuka yale maumivu ya miaka ile naona hata siku imenikalia vibaya
 
hahahahahaa! umeonaeee!!!

kazi kweli kweli.....unaota ndoto zako mwenyewe za miaka 5-milele.....yeye anajua ndani ya mwezi atakuwa ashakusahau yuko na Memo....
i will never think on behalf of a man.....simple....:wink2:
 
ld naomba upunguze muda wa hiyo likizo ni ndefu mno,,,nna kaka yangu hatakubrek hat tena,,lol!otherwise u need to move on ld if n only if,u have released.open ur heart for another chance with positive attitude,cheers

WL huwezi kujua alichotendwa my dear acha kabisa. Ila mimi nilikaa bila kupanga miaka nilikaa tu ikafika 5 na miezi 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…