Hebu sikieni ninavyowaza!!

ld naomba upunguze muda wa hiyo likizo ni ndefu mno,,,nna kaka yangu hatakubrek hat tena,,lol!otherwise u need to move on ld if n only if,u have released.open ur heart for another chance with positive attitude,cheers

Thanks Wise lady, kaka huyo muulize anaweza ku handle kabroken heart?
Manake kamekaa kitaahadhari zaidi, mmmmh unyasi ukimgusa anaruka futi mia mbili.
 
Acha tu my dear, mi mtu anayeitwa mwanaume hapa duniani Mungu angeniuliza awape siku ngapi za kuishi ningesema 21 tu.

mi ningewapa lisaa limoja....watusaidie katika reproduction then wapotee....viumbe wanaweza kufanya unywe sumu hawa......:decision::decision:
 
mi ningewapa lisaa limoja....watusaidie katika reproduction then wapotee....viumbe wanaweza kufanya unywe sumu hawa......:decision::decision:

Dah, unajikuta umejinyonga hivi hivi!!!
 
Acha tu my dear, mi mtu anayeitwa mwanaume hapa duniani Mungu angeniuliza awape siku ngapi za kuishi ningesema 21 tu.
Binti unamatatizo makubwa.
unahitaji msaada, umeshajaribu kumtafuta huyo unayemuita heart breaker wako siku za karibuni?
Hebu mtafute muyaongee yaishe bana!:A S 13::A S 13:
huwezi ukampenda mwanaume mwingine kama bado unampenda ex wako bana
Aisee.........hebu mfuate....huo ni ushauri wa bure.
 
Acha tu my dear, mi mtu anayeitwa mwanaume hapa duniani Mungu angeniuliza awape siku ngapi za kuishi ningesema 21 tu.

mi ningewapa lisaa limoja....watusaidie katika reproduction then wapotee....viumbe wanaweza kufanya unywe sumu hawa......:decision::decision:

Mnatulalamikia sana kwa sababu mnatupenda sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....
 
hapo ndipo utata wa msamaha wako unapoibuka.......
hapo ndipo penzi ulilonalo dhidi ya huyo kijana linapojidhihirisha.....

mi nadhani wewe SONGA MBELE....!
si ajabu mwenzio keshaoa na keshakusahau kitambo na siku nyingi sana...we unajiumiza kwa mastress,ma likizo na misamaha yenye ''lakini''...
 
Nakubali nina matatizo, lakini kwa sababu unaupenda ukweli zaidi,
Huyo unayenambia ni mtafute sasa hivi nasikia ni mume wa mtu, na ameshafunga ndoa.
Bado unataka nikamtamfute??
 
mkuu ninashukuru sana kwamba umeliangalia hili ''beyond the normal limits'' hebu kamata hii:

The Following User Says Thank You to Bigirita For This Useful Post:
carina-TI (Today)
 
Acha tu my dear, mi mtu anayeitwa mwanaume hapa duniani Mungu angeniuliza awape siku ngapi za kuishi ningesema 21 tu.

Siku 21? Nyingi mno hizo wazaliwe tu na kufa hapo hapo wapotelee hukooooooooo
 
Nakubali nina matatizo, lakini kwa sababu unaupenda ukweli zaidi,
Huyo unayenambia ni mtafute sasa hivi nasikia ni mume wa mtu, na ameshafunga ndoa.
Bada unataka nikamtamfute??

hebu kwanza kiri kwamba bado wampenda huyo x...regardless of what!
 
Dah, unajikuta umejinyonga hivi hivi!!!

halafu lenyewe linakula raha mwanangu.....mi sikuhizi wala sipotezi muda...nikiona haelekei napotea kabisaaaaaaa na ile nanihiii nimekuwa mchoyo.....basi raha kweli unavyogundua wale wanaotaka ile pipi wanapoikosa wanavyotawanyika......
 
Amani itoke wapi wakati upo lonely? Sasa unamkosoa Mwenyezi Mungu naona!
 
hebu kwanza kiri kwamba bado wampenda huyo x...regardless of what!

mtakatifu roya.....

kamata hii kwanza then tutajua la kufanya:
The Following User Says Thank You to St. RR For This Useful Post:
carina-TI (Today)
 
hebu kwanza kiri kwamba bado wampenda huyo x...regardless of what!

Halafu wewe, sijazoea kulazimishwa mambo!!
Halafu niko likizo tafadhali, ulijue hili!!
 
Hii thread babu anaruhusiwa kuchangia?:A S 13::A S 13:

:rain::rain::rain:

hapana :hand::hand::hand:

babu si unaona inawezekana? tatizo ni kuamua tu, ukiamua napumzika unaweza, yaani baiolojia haina say kwa mwili wako........ mfungo unawezekana, ni maamuzi tu
Bila kujali ushauri wa hawa Beijing wawili hapa juu:

Kwa mamlaka niliyopewa na walionitangulia mbele ya haki naomba niichangie hii thread kama ifuatavyo:

LD anampenda sana mwanaume aliyemtenda
LD hajapata mwanaume anayempenda kama mwanaume aliyemtenda,
LD anaogopa kumfuata mwanaume aliyemtenda,
LD hajawahi kumchukia mwanaume aliyemtenda...hana sababu ya kumsamehe.
LD ANATAMANI na ANATAKA sana kurudiana na mwanaume aliyemtenda.

Nikiwa kama babu nakushauri namna hii:

LD utendee moyo wako haki....Mrudie MWANAUME HUYO unayempenda sana.

Hii kujiwekea miaka mitano, itakapoisha utaenda kwa nani? Na akikutenda utajiwekea miaka mingapi tena? Na haya maisha mafupi utainjoi lini?

Peleka baioloji hiyo kwa huyo umpendaye, acha longolongo.

Babu anaurudi kitandani kulala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…