he he he heeeeee :A S 13::A S 13:......ndio,nimeanza!!
POLE SN DADA! Kabla ya kuchangia mada yako naomba nikuulize maswali 2. kwanza, ww ni mkristo? pili, kama ndiyo umeokoka?
Wala hata usichoke unaweza kupunguza au kuongeza mda mrad 2 moyo wako ukuruhusu hata mimi yalinitokea nikasema sitapenda miaka 5 lakini cha ajabu miaka mitano iliisha nikaongezea 3
embu acha kujutia bwana.....mtu yuko na mkewe we uko hapa unaomboleza miaka miwili baadaye? si kakuacha salama?kuna alichoondoka nacho? be happy and move on......wenzio tuna list we unaongelea first love hapa?:A S 13::A S 13:
gafla bin vuu nami nadandia.Acha nidandie,
Hivi mkuu kupenda ni maamuzi au moyo wa mtu unavutika?
:behindsofa:embu acha kujutia bwana.....mtu yuko na mkewe we uko hapa unaomboleza miaka miwili baadaye? si kakuacha salama?kuna alichoondoka nacho? be happy and move on......wenzio tuna list we unaongelea first love hapa?:A S 13::A S 13:
Pole sana kwa yaliyokukuta,nataka uatambue kuwa mapenzi yaliletwa na Mungu usaliti pia,wengi wetu tumekuwa niwatu wa kudhani mapenzi ni raha peke yake bila kuangalia upande wa pili ambao una kinyume chake,ndio maana tukiumizwa huwa ni rahisi kuapa kutopenda tena na kuamua kutoipa nafasi mioyo yetu ya kutopenda tena au kujipa muda wa kupenda bila kuelewa kuwa wakati ambao tunakaa peke yetu kuna roho ya chuki,kutoamini tunaitengeneza bila ya sisi kujijua na unapokuja wakati unataka kupenda tena basi unajikuta ile radha halisi au maana halisi ya mapenzi kwa mwenza wako haipo na kinachobaki ni kujilazimisha kupenda na wengine huishia tu katika majukumu kama vile kuwa mzazi kwa kuwa anataka kujulikana katika jamii kuwa naye ana familia.
Unapojikwaa katika maisha huwezi kusema nataka kuwa mbali na wanadamu maana huwezi kujifunza kutokana na kuwategemea hao hao binadamu katika maisha ya kila siku hivyo hivyo hata katika mapenzi huwezi jitenga nayo kwa kuwa u sehemu ya mapenzi.
Jaribu kusamehe yote na utajikuta upo huru kwa kuanza maisha mapya tena bila kujiwekea viwango vya wakati,usiposamehe na kubaki na hali hiyo moyoni basi ujue kuwa hata baada ya miaka 10 hutoweza kupenda tena.
Pole sana kwa maumivu uliyoyapata.
:behindsofa:
hivi kuna mtuu ambaye hajawai kuonja dozi ya heart break?sasa mbona unawadis waume kiivyo?tafuta zimwi likujuali halitakula ukakwisha, kwa maisha ya leo vibuti ni vingi ila sio vya pamanent.Tupo pamoja, wala sina maumivu kiiiiiivo.
Nipo likizo.
Pole sana kwa yaliyokukuta,nataka uatambue kuwa mapenzi yaliletwa na Mungu usaliti pia,wengi wetu tumekuwa niwatu wa kudhani mapenzi ni raha peke yake bila kuangalia upande wa pili ambao una kinyume chake,ndio maana tukiumizwa huwa ni rahisi kuapa kutopenda tena na kuamua kutoipa nafasi mioyo yetu ya kutopenda tena au kujipa muda wa kupenda bila kuelewa kuwa wakati ambao tunakaa peke yetu kuna roho ya chuki,kutoamini tunaitengeneza bila ya sisi kujijua na unapokuja wakati unataka kupenda tena basi unajikuta ile radha halisi au maana halisi ya mapenzi kwa mwenza wako haipo na kinachobaki ni kujilazimisha kupenda na wengine huishia tu katika majukumu kama vile kuwa mzazi kwa kuwa anataka kujulikana katika jamii kuwa naye ana familia.
Unapojikwaa katika maisha huwezi kusema nataka kuwa mbali na wanadamu maana huwezi kujifunza kutokana na kuwategemea hao hao binadamu katika maisha ya kila siku hivyo hivyo hata katika mapenzi huwezi jitenga nayo kwa kuwa u sehemu ya mapenzi.
Jaribu kusamehe yote na utajikuta upo huru kwa kuanza maisha mapya tena bila kujiwekea viwango vya wakati,usiposamehe na kubaki na hali hiyo moyoni basi ujue kuwa hata baada ya miaka 10 hutoweza kupenda tena.
Pole sana kwa maumivu uliyoyapata.
Tupo pamoja, wala sina maumivu kiiiiiivo.
Nipo likizo.
Komredi nadhani ni lugha tu hapa imepishan,,, we are in the same boat..Wapi mwalimu wangu Gaijin angenisahihisha hapa!Acha nidandie,
Hivi mkuu kupenda ni maamuzi au moyo wa mtu unavutika?
Aisee LD usiuodhulumu moyo wako...rudia hiyo mtu bana.....Au jamaa halina time ukijaribu kulirudia?
vipi ile masai nzima?ulikimbilia masai ili usipewe heart break?martytina ulichukua uamuzi ngumu sana yaan ulianzaje kupenda ile mutu bibie?Acha ushamba njoo huku umasaini kukame utakoma.usijichanganye kwa wapiga vinanda, au kwaya masters kwani hao ni wanamziki kama walivyowengine ha matendo yao hayana significant difference.Kumbe unawajua eeh
hivi kuna mtuu ambaye hajawai kuonja dozi ya heart break?sasa mbona unawadis waume kiivyo?tafuta zimwi likujuali halitakula ukakwisha, kwa maisha ya leo vibuti ni vingi ila sio vya pamanent.
TANGAZO:
jamani kuna mtu kanionea Michelle huku ndani?
Atakayemwona tafadhali naomba amwambie babu anamtafuta kule mtaa wa pili.
ZAWADI NONO ITATOLEWA KWA ATAKAYEFANIKIWA KUMWONA.
Ukiliona Tangazo hili mfahamishe na jirani yako.
UTAWALA.