Hebu sikieni ninavyowaza!!

Hebu sikieni ninavyowaza!!

TANGAZO:

jamani kuna mtu kanionea Michelle huku ndani?

Atakayemwona tafadhali naomba amwambie babu anamtafuta kule mtaa wa pili.

ZAWADI NONO ITATOLEWA KWA ATAKAYEFANIKIWA KUMWONA.

Ukiliona Tangazo hili mfahamishe na jirani yako.

UTAWALA.
 
POLE SN DADA! Kabla ya kuchangia mada yako naomba nikuulize maswali 2. kwanza, ww ni mkristo? pili, kama ndiyo umeokoka?

Ndiyo kaka mi ni Mkristo, nampenda Mungu na mkombozi wetu, ninaishi maisha ya kumtegemea Mungu katika maisha yangu yote,
Hata nilipoanguka mikononi mwa wanyanganyi, Neema ya Mungu ilinivuta tena, sikukataa tamaa, wala kujichanganya na dunia kivileeeee!!!
 
Pole sana kwa yaliyokukuta,nataka uatambue kuwa mapenzi yaliletwa na Mungu usaliti pia,wengi wetu tumekuwa niwatu wa kudhani mapenzi ni raha peke yake bila kuangalia upande wa pili ambao una kinyume chake,ndio maana tukiumizwa huwa ni rahisi kuapa kutopenda tena na kuamua kutoipa nafasi mioyo yetu ya kutopenda tena au kujipa muda wa kupenda bila kuelewa kuwa wakati ambao tunakaa peke yetu kuna roho ya chuki,kutoamini tunaitengeneza bila ya sisi kujijua na unapokuja wakati unataka kupenda tena basi unajikuta ile radha halisi au maana halisi ya mapenzi kwa mwenza wako haipo na kinachobaki ni kujilazimisha kupenda na wengine huishia tu katika majukumu kama vile kuwa mzazi kwa kuwa anataka kujulikana katika jamii kuwa naye ana familia.
Unapojikwaa katika maisha huwezi kusema nataka kuwa mbali na wanadamu maana huwezi kujifunza kutokana na kuwategemea hao hao binadamu katika maisha ya kila siku hivyo hivyo hata katika mapenzi huwezi jitenga nayo kwa kuwa u sehemu ya mapenzi.
Jaribu kusamehe yote na utajikuta upo huru kwa kuanza maisha mapya tena bila kujiwekea viwango vya wakati,usiposamehe na kubaki na hali hiyo moyoni basi ujue kuwa hata baada ya miaka 10 hutoweza kupenda tena.
Pole sana kwa maumivu uliyoyapata.
 
Wala hata usichoke unaweza kupunguza au kuongeza mda mrad 2 moyo wako ukuruhusu hata mimi yalinitokea nikasema sitapenda miaka 5 lakini cha ajabu miaka mitano iliisha nikaongezea 3

Ni kheri kutafuta spare tyre
 
embu acha kujutia bwana.....mtu yuko na mkewe we uko hapa unaomboleza miaka miwili baadaye? si kakuacha salama?kuna alichoondoka nacho? be happy and move on......wenzio tuna list we unaongelea first love hapa?:A S 13::A S 13:

Tupo pamoja, wala sina maumivu kiiiiiivo.
Nipo likizo.
 
Acha nidandie,
Hivi mkuu kupenda ni maamuzi au moyo wa mtu unavutika?
gafla bin vuu nami nadandia.

Nawashanga hawa dada kujiwekea mipaka ya muda.
Kupenda come under natural circumstances sasa kivipi ujisemee sasa huu ni mdaa wa kupenda au laa?

Ngono ndio unaweza iwekea mipaka kwamba sishiriki mpaka baada ya miaka mitano.
 
embu acha kujutia bwana.....mtu yuko na mkewe we uko hapa unaomboleza miaka miwili baadaye? si kakuacha salama?kuna alichoondoka nacho? be happy and move on......wenzio tuna list we unaongelea first love hapa?:A S 13::A S 13:
:behindsofa:
 
Pole sana kwa yaliyokukuta,nataka uatambue kuwa mapenzi yaliletwa na Mungu usaliti pia,wengi wetu tumekuwa niwatu wa kudhani mapenzi ni raha peke yake bila kuangalia upande wa pili ambao una kinyume chake,ndio maana tukiumizwa huwa ni rahisi kuapa kutopenda tena na kuamua kutoipa nafasi mioyo yetu ya kutopenda tena au kujipa muda wa kupenda bila kuelewa kuwa wakati ambao tunakaa peke yetu kuna roho ya chuki,kutoamini tunaitengeneza bila ya sisi kujijua na unapokuja wakati unataka kupenda tena basi unajikuta ile radha halisi au maana halisi ya mapenzi kwa mwenza wako haipo na kinachobaki ni kujilazimisha kupenda na wengine huishia tu katika majukumu kama vile kuwa mzazi kwa kuwa anataka kujulikana katika jamii kuwa naye ana familia.
Unapojikwaa katika maisha huwezi kusema nataka kuwa mbali na wanadamu maana huwezi kujifunza kutokana na kuwategemea hao hao binadamu katika maisha ya kila siku hivyo hivyo hata katika mapenzi huwezi jitenga nayo kwa kuwa u sehemu ya mapenzi.
Jaribu kusamehe yote na utajikuta upo huru kwa kuanza maisha mapya tena bila kujiwekea viwango vya wakati,usiposamehe na kubaki na hali hiyo moyoni basi ujue kuwa hata baada ya miaka 10 hutoweza kupenda tena.
Pole sana kwa maumivu uliyoyapata.

Asante Mtumishi, na Mungu wangu akubariki sana!!!
 
Tupo pamoja, wala sina maumivu kiiiiiivo.
Nipo likizo.
hivi kuna mtuu ambaye hajawai kuonja dozi ya heart break?sasa mbona unawadis waume kiivyo?tafuta zimwi likujuali halitakula ukakwisha, kwa maisha ya leo vibuti ni vingi ila sio vya pamanent.
 
heshima mbele mkuu....!

huyu binti hajasamehe na ninafurahi umelitambua hilo
 
Tupo pamoja, wala sina maumivu kiiiiiivo.
Nipo likizo.

Aisee LD usiuodhulumu moyo wako...rudia hiyo mtu bana.....Au jamaa halina time ukijaribu kulirudia?
 
Acha nidandie,
Hivi mkuu kupenda ni maamuzi au moyo wa mtu unavutika?
Komredi nadhani ni lugha tu hapa imepishan,,, we are in the same boat..Wapi mwalimu wangu Gaijin angenisahihisha hapa!
 
Aisee LD usiuodhulumu moyo wako...rudia hiyo mtu bana.....Au jamaa halina time ukijaribu kulirudia?

:A S 13::A S 13:kaoa jamani....its over for good! LD hawezi kuwa hawara....ngoja nimsaidie manake hamuelewi:decision::decision:
 
usijichanganye kwa wapiga vinanda, au kwaya masters kwani hao ni wanamziki kama walivyowengine ha matendo yao hayana significant difference.Kumbe unawajua eeh
vipi ile masai nzima?ulikimbilia masai ili usipewe heart break?martytina ulichukua uamuzi ngumu sana yaan ulianzaje kupenda ile mutu bibie?Acha ushamba njoo huku umasaini kukame utakoma.
 
hivi kuna mtuu ambaye hajawai kuonja dozi ya heart break?sasa mbona unawadis waume kiivyo?tafuta zimwi likujuali halitakula ukakwisha, kwa maisha ya leo vibuti ni vingi ila sio vya pamanent.

Si wadisi, naamini wakati utaamua mambo tuuu!! Hata hivo sipo static kwenye huo muda wa likizo kiiivoooo!!!
 
TANGAZO:

jamani kuna mtu kanionea Michelle huku ndani?

Atakayemwona tafadhali naomba amwambie babu anamtafuta kule mtaa wa pili.

ZAWADI NONO ITATOLEWA KWA ATAKAYEFANIKIWA KUMWONA.

Ukiliona Tangazo hili mfahamishe na jirani yako.

UTAWALA.

Babu,kafanya nini tena huyo Michelle???:decision::A S 13::rain:
 
Back
Top Bottom