Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Ni kwamba wasioolewa tu ndo wana muda wa kutosha kujipatia wasaidizi wa kazi za ndani wenye hadhi?
Yaani unakuta wanaendana, wengine hadi wanavaliana nguo. Msaidizi mrembo, msafi na mchangamfu kiasi kwamba hata ukifika yuko mwenyewe unakuwa na amani kwa bashasha.
Hizi sampuli wanazojipatia wake zetu ni daraja la chini kabisa, hata kushinda na watoto wetu ni basi tu.
Au kuna siri gani mkiolewa tu mnabadili sampuli?