JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,487
- 2,599
Nimeikuta huko mtandaoni mtu anaomba ushauri nimesoma nimeumizwa sana lakini imenifikirisha zaidi.
Ni Me copy na kupaste nilitaka kuihariri nikaona naweza kupoteza maana hebu soma tu mwenyewe
Jaman staki kuchamba naomba ushauri mimi nimechanganyikiwa na shida zangu hapa sielew kabisa nimevurugwa ukinitusi na mimi nakutukana spendi dharau kama huwezi kucoment pita hivi
staki ulokole kwenye post yangu
Naomba msaada ushauri na mtoto wa mwezi mmoja sina hela sina bwana sina kazi nimejifungua mwezi wa 11 tarehe 27 damu zishakata nipo mshono unaendelea vizuri hapa nakaa na bff wangu angu, kakubali kubaki na mtoto nikapiganishe
Kuna mshamba akanitafuta Leo niende tukakesheana mpaka kesho asubuhi ananipa laki moja na nusu
Kasema niende sa 1 jion naomba kuulizia kwenu hapa mtoto namkamulia maziwa au mtoto wa mwezi mmoja anawezakutumia ASAS maziwa na jee nifanyeje nisimbemende nikirudi naendelea kumnyonyesha kama kawaida
Haya nasoma comment zenu waja.
Acheni nimtafutie mwanangu hela za pampas sabuni mafuta
Mengine hayawahusu ni hivo tu nikilala nae ndani nani? Atatuhudumia baba yake chokoraa ajulikani ata alipo siwezi kuacha laki na nusu huku sina hata mia chakavu ndani
ata usipoficha jina sawa tu adimin