AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Hua wanajitia mimba km mwanaume akimpenda yaan malaya kapenda hua wanatumbukiza zile manii kutoka kwenye condoms kuziingiza ukeni wewe ukishachapa raba wanataka mbegu km hujui hujui tu leo nimekujuza... sio bahati mbaya ni wapo makini zaidi ya unavyojua, unafikiri malaya hapendi ? Siku hizi hawaogopi vyote sio mimba sio ukimwi wala homa ya ininilimfuatilia sana nikapata details zake ni alikuwa anajiuza sasa hata mimba ilitokea tu ndio maana hamjui baba wa mtoto. hata ukimsaidia leo laki moja ikiisha atarudia tu maan kuea mtoto mwenyewe bila kazi hapa mjini ni ngumu sana
Sio bahati mbaya malaya wapo makini kuliko daktari wa upasuaji... hio kajipa mimba mwenyewe anataka mtotoalikuwa anajiuza akapata mtoto kwa ile bahati mbaya ndio maana hata baba wa mtoto hamjui
duuh kumbe kuna mazito hiviHua wanajitia mimba km mwanaume akimpenda yaan malaya kapenda hua wanatumbukiza zile manii kutoka kwenye condoms kuziingiza ukeni wewe ukishachapa raba wanataka mbegu km hujui hujui tu leo nimekujuza... sio bahati mbaya ni wapo makini zaidi ya unavyojua, unafikiri malaya hapendi ? Siku hizi hawaogopi vyote sio mimba sio ukimwi wala homa ya ini
Wote hawana akili kuanzia baba mtoto, mama mtoto na anayeilipia 150kmwenye matatizo ya akili ni huyo anayetoa laki na nusu kulipia upumbavu.
Hapo lodge+food+ 150 na usafiri ni zaidi ya laki 2.
Chizi kweli huyo jamaa
inasikitisha