Hebu sote tucheke kidogo kupunguza Maudhi / Makwazo tuliyonayo katika Maisha yetu

Genta bana eti tumbo lako chafu hadi minyoo wanavaa mabuti na kutembea kwa kunyatanyata.

Eti Genta kwenu kuchafu hadi mende wanavaa Malapa.

Asee Genta unalala na miwani usiku uone ndoto vizuri.

Kina Genta matajiri hadi wanaweka carpet shambani.

😁😁😁😁😅😆😆😆😆😆

adriz
 
Kuna haja gani ya kuniTag mwehu wewe ?
 
Back
Top Bottom