Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha wewe unadai "muacheni nimfunze adabu huyo kima" kumbe kimoyomoyo unasema mtoeni asije kuniua bure.Usiombe ukawa unapigana halafu kipigo kikawa kimelalia kwako then watu badala waamue ndo unasikia Kobe fulani huko inasema "Waacheni wafundishane adabu"[emoji23]
Sasa unajiuliza tufundishane adabu wakati ukijiangalia wewe jicho limeshaumuliwa halafu adui yako ndo kwanza anatoka jasho tu na kakutia kabari inaitwa "bwana wa mabwana Alfa na Omega"[emoji23]
Bahati nzuri situation kama hizo ndo wanatokeaga na wasalamia wema hapo ndo unajua kumbe malaika bado wapo duniani.. kwa ubavu nawe unajidai kuparangana ili kuuwa soo..[emoji12]
Share nasi ndugu.. maana Kuna watu wakitokaga kwenye situation kama hizo huwa wanalia!,sio kwamba analia kwa kipigo no analia machozi ya furaha kwa kuokolewa..😂😜Umenikumbusha mbali aiseh 🤣🤣
Inaonekana ushakuapata huu mkasa..😂 umeyajua yote hayo.. wengine hukata na tamaa wanaanza kusema "Niuwe tu"😂Haha wewe unadai "muacheni nimfunze adabu huyo kima" kumbe kimoyomoyo unasema mtoeni asije kuniua bure.
Can you imagine mimi tangu kuzaliwa kwangu sijawahi kupigana naogopa ugomvi balaa. Labda huko utotoni kabla sijajitambua[emoji3]Inaonekana ushakuapata huu mkasa..[emoji23] umeyajua yote hayo.. wengine hukata na tamaa wanaanza kusema "Niuwe tu"[emoji23]
Wajumbe, ni Kazi Tu au Kazi na Bata!
Haya maisha bhana fanya yote ila hakikisha unafurahia, viwango vya furaha vinatofautiana kutoka ndogo hadi zile kubwa ambazo hadi watu wengine watajionea.
Basi kwa kutambua tofauti hizo, sio vizuri kuipuuza furaha ndogo kwa kutarajia kubwa isiyo na uhakika. Unaweza kungoja milele, na hivyo utaishi bila furaha kwa sababu tu ya tamaa na mapuuza.
Nitaanza kwa mifano michache, kisha nawe utashea za kwako:
1. Umekwangua vocha ukafuta namba kadhaa, ila ukafanikiwa kubuni namba kitu ikasoma... ile feeling niaje! Enhee hiyo hiyo.
2. Ile muda umegombea daladala na ukabahatika kupata siti, unafeel aje! Tena unajikausha kama sio wewe, furahia.
3. Upo kwenye mdahalo halafu hujui kitu imeulizwa, unaona mwezeshaji ananyoosha mkono kukuelekea... ghafla jirani yako anainuka kujibu.
4. .......
5. ........
Tuendelee!
Miscellaneous happiness!!
Bado mnafanyiana huo utoto!Umechuniana na mpenzi kwa kisa Cha kijinga..alafu umeamka asubuhi unakutana na "morning beautiful" 😂😂 katabasamu kake Sasa kale ka kujishaua..acha kabisa🤣🤣
Bado aisee..tutaacha tukikuwaBado mnafanyiana huo utoto!
Mkuwe mara ngapi na mna watoto au sio wazazi nyie 🤣🤣🤣Bado aisee..tutaacha tukikuwa
🤣🤣🤣🤣 Na wajukuu tunao..soon kilembwe anakuja.Mkuwe mara ngapi na mna watoto au sio wazazi nyie 🤣🤣🤣
Nachukia drama za kijinga.
Uzungu umezidi eeh🤣🤣🤣🤣 Na wajukuu tunao..soon kilembwe anakuja.
Drama my foot
Bro haka kaushuhuda sikaleti ng’o🤣🤣🤣Share nasi ndugu.. maana Kuna watu wakitokaga kwenye situation kama hizo huwa wanalia!,sio kwamba analia kwa kipigo no analia machozi ya furaha kwa kuokolewa..😂😜
Hebu leta hako kaushuhuda..
Nimecheka kindezi sana🤣🤣🤣Haha wewe unadai "muacheni nimfunze adabu huyo kima" kumbe kimoyomoyo unasema mtoeni asije kuniua bure.