Hebu taja hapa zile furaha ndogo ndogo ambazo hazitoshi kumwambia mtu ila huwa unajisikia raha

Nishakomaga mbona🤣🤣

Ila kuna siku nilimuotea huyo🤣🤣🤣utoto ni raha sana
Najua kwa hasira ulimpiga mpk ukamtafuna au ulipiga zile ukipiga pigo moja unatoka nduki haswaa..😂

Utoto bhana.
Mi kuna rafiki yangu nilimtukanaga tusi zito nikijua huyu mbio namkalisha!.. nahapo nafahamu jamaa ananizidi mbavu!.. aisee baada ya kumtukana ligi ya mbio ikaanza,kila nikigeuka nyuma jamaa huyu hapa naongeza spidi lkn wapi njemba iko nami tusi lilikuwa zito mno.. Sasa ubovu uelekeo niliokuwa nimeshika ilikuwa ni uelekeo wa nyumbani nikaona hapa nikienda skani kesi itakuwa nzito zaidi nikaona ngoja niyamalize hapahapa..😅
Ilibidi nikae chini jamaa alianza kunipiga mateke hasira zake zikaisha akala kona mi nikaenda skani nimeshayamaliza na hata sikusimulia..😂😂
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️kama nakuona kudadeki

Nilimuwasha tukio haki tena nilimuacha anakohoa....nilimuachia vumbi😅😅kufika mbele nikakutana ni kikosi kazi changu nikasnza kutembea kama boss🤣🤣🤣

Sasa hivi ni ni watu na familia zao aise 😅😅
 
We unaonekana mtata tu hata na huu ukubwa wako mtu akijichanganya lzm apigwe mtama..😜
 
...Ile umeshasotea PISI kama mwezi hivi, sasa hiyo siku umekaa geto umeshakata tamaa ghafla inaingia msg "Msomi hewa, unauhakika hautaniumiza?" Inafeel aje..
 
We unaonekana mtata tu hata na huu ukubwa wako mtu akijichanganya lzm apigwe mtama..😜
😅😅😅😅 KENZY mimi ni mstaarabu sana aise 😅😅..

Utata unakuja pale ninapoona mambo meusi meusi😎😎

Na utu uzima wote huu naanzia wapi kumpiga mtu mitama..😅

Mwamba usiniogope aise
 
Umenunua kitu cha bei kubwa, kwa hofu kuwa umepigwa unaamua kuulizia maduka mengine ulinganishe... unakuta bei iko juu zaidi. [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom