Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana.. ila ukome kwa mbaliii..😜
Nishakomaga mbona🤣🤣Pole sana.. ila ukome kwa mbaliii..😜
Najua kwa hasira ulimpiga mpk ukamtafuna au ulipiga zile ukipiga pigo moja unatoka nduki haswaa..😂Nishakomaga mbona🤣🤣
Ila kuna siku nilimuotea huyo🤣🤣🤣utoto ni raha sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️kama nakuona kudadekiNajua kwa hasira ulimpiga mpk ukamtafuna au ulipiga zile ukipiga pigo moja unatoka nduki haswaa..😂
Utoto bhana.
Mi kuna rafiki yangu nilimtukanaga tusi zito nikijua huyu mbio namkalisha!.. nahapo nafahamu jamaa ananizidi mbavu!.. aisee baada ya kumtukana ligi ya mbio ikaanza,kila nikigeuka nyuma jamaa huyu hapa naongeza spidi lkn wapi njemba iko nami tusi lilikuwa zito mno.. Sasa ubovu uelekeo niliokuwa nimeshika ilikuwa ni uelekeo wa nyumbani nikaona hapa nikienda skani kesi itakuwa nzito zaidi nikaona ngoja niyamalize hapahapa..😅
Ilibidi nikae chini jamaa alianza kunipiga mateke hasira zake zikaisha akala kona mi nikaenda skani nimeshayamaliza na hata sikusimulia..😂😂
We unaonekana mtata tu hata na huu ukubwa wako mtu akijichanganya lzm apigwe mtama..😜🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️kama nakuona kudadeki
Nilimuwasha tukio haki tena nilimuacha anakohoa....nilimuachia vumbi😅😅kufika mbele nikakutana ni kikosi kazi changu nikasnza kutembea kama boss🤣🤣🤣
Sasa hivi ni ni watu na familia zao aise 😅😅
Uzi ufungwe. Hakuna furaha inayozidi hapaUwe huna pesa halafu ghafla unasoma message mpya ya "IMETHIBITISHWA" [emoji4]
😅😅😅😅 KENZY mimi ni mstaarabu sana aise 😅😅..We unaonekana mtata tu hata na huu ukubwa wako mtu akijichanganya lzm apigwe mtama..😜
😅😅😅nakuzoom tu 🤣🤣🤣Basi sawa kimwana..😉
Niache hata kwa leo tu si sumu..😜😅😅😅nakuzoom tu 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅Niache hata kwa leo tu si sumu..😜
Unatoka kwenye reli jomba.Ipo siku ntakuja nikuzukie pm..😜🏃🏃
Ila usinifurumue..😂