itakuwa una kabifu na mtoa mada teteteeeh angalia ujumbe si mtoa ujumbeComments zako nyingi huko nyuma wala hazikuwa za kumpenda Wema, sasa leo from nowhere tu eti umekuja kama mtu mwema wa kumshauri....Mama kalee mumeo,wanao,na ndugu. kama huna mume, mwana wala ndugu tafuta lingine la kufanya........la Wema waachie ndugu na wanafamilia. Ya nyumbani kwako hujayamaliza leo ukamvalie njuga Wema utayaweza?? Smahani kwa kukutouch. byeeeeee
Comments zako nyingi huko nyuma wala hazikuwa za kumpenda Wema, sasa leo from nowhere tu eti umekuja kama mtu mwema wa kumshauri....Mama kalee mumeo,wanao,na ndugu. kama huna mume, mwana wala ndugu tafuta lingine la kufanya........la Wema waachie ndugu na wanafamilia. Ya nyumbani kwako hujayamaliza leo ukamvalie njuga Wema utayaweza?? Smahani kwa kukutouch. byeeeeee
aisee, haya yote uloandika ni kuhusu huyu huyu wema kisauti na Dayamondi?
Kweli watz tuna muda mwingi sana.
yaani wee acha tu Kongosho.
ila mie natamani kweli ningekua na muda kama ule wako wakushinda chit chat from monday to monday 24/7 maana mie ni siku moja moja kama hivi.
Naona umepata likes za kutosha hahah unashangaa mtu ametumia muda wote huo na nguvu na labda hata gharama kujadili fulani amemuacha fulani.
Halafu bado tunalalamika sisi ni masikini
Kongosho bana.He he he he, Kumbe na mie ni celebrit wako??
Hadi unajua na jukwaa nipendalo, wee ni nani?
Kongosho bana.
must admit though,i´m honered to have such a busy person like you spending his/her expensive time in my wastage-of-time thread.
Kongosho bana.
Nisamehe mwaya kama kuna nilipokukosea kwenye huu uzi au siku za nyuma.
Maana naona ule muda wako wa thamani unaotumiaga kufanya mambo ya kukuondolea umaskini umeamua kuutumia ku-prove kuwa tanzania haitaendelea maana watanzania(except u) wanatumia muda mwingi kwa mambo yasiyowaingizia pesa
.I must admit though,i´m honered to have such a busy person like you spending his/her expensive time in my wastage-of-time thread.
huu ushauri utamsaidia wema.
Mie bado naendelea kusema Diamond alikosea ni mshamba na sio Mwanamme wa ukweli kwa nini mambo ya mapenzi ukaweke mitandaoni ..kwani walikutana mwanzo mbona hakutuwekea
Juzi kati alihojiwa anasema eti alirecord ili amuonyeshe mpenzi wake Penny jinsi wema anavyomsumbua
.kasahau kwamba walirecord wakiwa wote eti wanataka kulala ..haya baby mama P