Hebu tu-rewind mkanda..Wema Sepetu na marehemu Steven Kanumba..(R.I.P)

Comments zako nyingi huko nyuma wala hazikuwa za kumpenda Wema, sasa leo from nowhere tu eti umekuja kama mtu mwema wa kumshauri....Mama kalee mumeo,wanao,na ndugu. kama huna mume, mwana wala ndugu tafuta lingine la kufanya........la Wema waachie ndugu na wanafamilia. Ya nyumbani kwako hujayamaliza leo ukamvalie njuga Wema utayaweza?? Smahani kwa kukutouch. byeeeeee
itakuwa una kabifu na mtoa mada teteteeeh angalia ujumbe si mtoa ujumbe
 
Comments zako nyingi huko nyuma wala hazikuwa za kumpenda Wema, sasa leo from nowhere tu eti umekuja kama mtu mwema wa kumshauri....Mama kalee mumeo,wanao,na ndugu. kama huna mume, mwana wala ndugu tafuta lingine la kufanya........la Wema waachie ndugu na wanafamilia. Ya nyumbani kwako hujayamaliza leo ukamvalie njuga Wema utayaweza?? Smahani kwa kukutouch. byeeeeee

Kula tano mdau
 
Bila shaka mrembo by nature,nikiwe mmeshapitiwa na diamond komenti zenu tu zinanipa mashaka teh!
 
Mbona na wewe umepata muda wa kuusoma ujumbe wake?Kwanza kitendo cha kuingia tu humu kusomasoma tu utakua una muda mwingi sana na wewe.

**Nyani haoni kalio-le**:tape2:
 
aisee, haya yote uloandika ni kuhusu huyu huyu wema kisauti na Dayamondi?

Kweli watz tuna muda mwingi sana.

Naona umepata likes za kutosha hahah unashangaa mtu ametumia muda wote huo na nguvu na labda hata gharama kujadili fulani amemuacha fulani.
Halafu bado tunalalamika sisi ni masikini
 
He he he he, Kumbe na mie ni celebrit wako??

Hadi unajua na jukwaa nipendalo, wee ni nani?

yaani wee acha tu Kongosho.
ila mie natamani kweli ningekua na muda kama ule wako wakushinda chit chat from monday to monday 24/7 maana mie ni siku moja moja kama hivi.
 
Kazi kweli kweli

Naona umepata likes za kutosha hahah unashangaa mtu ametumia muda wote huo na nguvu na labda hata gharama kujadili fulani amemuacha fulani.
Halafu bado tunalalamika sisi ni masikini
 
He he he he, Kumbe na mie ni celebrit wako??

Hadi unajua na jukwaa nipendalo, wee ni nani?
Kongosho bana.
Nisamehe mwaya kama kuna nilipokukosea kwenye huu uzi au siku za nyuma.
Maana naona ule muda wako wa thamani unaotumiaga kufanya mambo ya kukuondolea umaskini umeamua kuutumia ku-prove kuwa tanzania haitaendelea maana watanzania(except u) wanatumia muda mwingi kwa mambo yasiyowaingizia pesa
.I must admit though,i´m honered to have such a busy person like you spending his/her expensive time in my wastage-of-time thread.
 
Last edited by a moderator:
Kongosho bana.

must admit though,i´m honered to have such a busy person like you spending his/her expensive time in my wastage-of-time thread.

Napita tu jamani....

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha, angalia hata ulivyojieleza kwa kirefu

It's something huh!

Kongosho bana.
Nisamehe mwaya kama kuna nilipokukosea kwenye huu uzi au siku za nyuma.
Maana naona ule muda wako wa thamani unaotumiaga kufanya mambo ya kukuondolea umaskini umeamua kuutumia ku-prove kuwa tanzania haitaendelea maana watanzania(except u) wanatumia muda mwingi kwa mambo yasiyowaingizia pesa
.I must admit though,i´m honered to have such a busy person like you spending his/her expensive time in my wastage-of-time thread.
 
Mie bado naendelea kusema Diamond alikosea ni mshamba na sio Mwanamme wa ukweli kwa nini mambo ya mapenzi ukaweke mitandaoni ..kwani walikutana mwanzo mbona hakutuwekea
Juzi kati alihojiwa anasema eti alirecord ili amuonyeshe mpenzi wake Penny jinsi wema anavyomsumbua
.kasahau kwamba walirecord wakiwa wote eti wanataka kulala ..haya baby mama P
 
Wema ni show-off muuza unga 2,pia anatumia maliasili kujiingizia kipato...Inasemekana ile nyumba amepanga ila binti mpunga anao.
 
Mie bado naendelea kusema Diamond alikosea ni mshamba na sio Mwanamme wa ukweli kwa nini mambo ya mapenzi ukaweke mitandaoni ..kwani walikutana mwanzo mbona hakutuwekea
Juzi kati alihojiwa anasema eti alirecord ili amuonyeshe mpenzi wake Penny jinsi wema anavyomsumbua
.kasahau kwamba walirecord wakiwa wote eti wanataka kulala ..haya baby mama P

Mama wa kwanza habari ya wewe.
long time no see you.
My dear hata mimi sijapendezewa na alivyofanya Diamond.
FirstLady 1 hivi mwanao akicheza na watoto wenye kutukana na yeye akajifunza kutukana utamkanya mwanao akae mbali na watoto wenye tabia mbaya au utatumia nguvu zako kuwalaumu watoto wenye tabia mbaya?
Mi naona kumlaumu Diamond hakutamsaidia wema.
 
Huyu Wema majuzi tu hapa imeripotiwa kuwa kampeleka mama yake polisi kwa kosa la yeye mama Wema kwenda nyumbani kwa Wema na kumshambulia.

Kwa nini haishi drama huyu binti?
 
Back
Top Bottom