Hebu tuambiane ratiba za Minada au Magulio kwenye mikoa ya Dar es salaam, Morogoro, Tanga, Dodoma n.k

Hebu tuambiane ratiba za Minada au Magulio kwenye mikoa ya Dar es salaam, Morogoro, Tanga, Dodoma n.k

Tanki

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
538
Reaction score
246
Habari wakuu, naamini hii itasaidia Kwa wafanyabiashara na wanunuzi. Hebu Leo tuambiane siku ambazo magulio / minada / hufanyika.

Naomba nianze na Dar es salaam nilipo.

Kivule Sokoni = Kila Jumanne

Kitunda = Kila Ijumaa

TABATA Kinyerezi (Mahakamani jirani na Kinyerezi park ) = Kila Jumatatu

KINONDONI BIAFRA = Mnada ni Kila Jumamosi.

Wakuu, ongezeeni ratiba ya minada ya huko mlipo
 
Kibamba Njiapanda ya Shule - Kila Jumatano

Luguruni - Kila Alhamisi

Mnada wa Nyama ya Mbuzi choma na supu
Kibamba Njiapanda ya Shule - Kila Jumatano na Jumapili
 
Habari wakuu, naamini hii itasaidia Kwa wafanyabiashara na wanunuzi. Hebu Leo tuambiane siku ambazo magulio / minada / hufanyika.

Naomba nianze na Dar es salaam nilipo.

Kivule Sokoni = Kila Jumanne

Kitunda = Kila Ijumaa

TABATA Kinyerezi (Mahakamani jirani na Kinyerezi park ) = Kila Jumatatu

KINONDONI BIAFRA = Mnada ni Kila Jumamosi.

Wakuu, ongezeeni ratiba ya minada ya huko mlipo
Segerea (Barakuda) - Jumanne.
 
Wewe mara zote nimeona una lalamika kuhusu bei, kwa nini usifuate soko linavyo taka? Umekuta sokoni wanauza shati kwa buku buku fuatilia wanachukulia wapi na wewe uuze hizo za buku buku. Sasa wewe una uza shati za elfu kumi, utaendelea kulalamika kila siku.
Minadani mnapenda bei mteremko
 
Back
Top Bottom