Segerea (Barakuda) - Jumanne.Habari wakuu, naamini hii itasaidia Kwa wafanyabiashara na wanunuzi. Hebu Leo tuambiane siku ambazo magulio / minada / hufanyika.
Naomba nianze na Dar es salaam nilipo.
Kivule Sokoni = Kila Jumanne
Kitunda = Kila Ijumaa
TABATA Kinyerezi (Mahakamani jirani na Kinyerezi park ) = Kila Jumatatu
KINONDONI BIAFRA = Mnada ni Kila Jumamosi.
Wakuu, ongezeeni ratiba ya minada ya huko mlipo
Jumamosi kikundi moro mjiniMkuu, hauna ratiba nyingine ya gulio lolote huko MOROGORO please?
Dumila kila Jumanne na Jumamosi kila wiki .Mkuu, hauna ratiba nyingine ya gulio lolote huko MOROGORO please?
wewe nenda supermarket mkuuMinadani mnapenda bei mteremko
Minadani mnapenda bei mteremko