Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kwenye malipoMi nilienda Kuonyesha Bima
Yule receptionist ananiambia Bima inaonesha huumwi..
Anyway inaonesha Kuna namna flani NHIF wenyewe wanawazingua Hospital binafsi.
Tatizo sio bima kubwa au ndogo, tatizo ni NHIF kutolipa kwa wakati madai ya watoa Huduma. Na sasa ndio wamepunguza vitita mfano, huduma iliyokuwa inalipiwa 25,000/= imeshushwa hadi 14,000/=Bima umekata ndogo unahitaji huduma kubwa weeh pambana na hali yako ile kubwa ukiwa nayo ya ml 1 hawakatai
Huna akili kichwani, Bima yangu hata India napelekwa.Bima umekata ndogo unahitaji huduma kubwa weeh pambana na hali yako ile kubwa ukiwa nayo ya ml 1 hawakatai
Tatizo ujuwaji mwingi ndio unawasumbuwa baadhi yenu.Umew
Umeenda hospitali ngapi, au una haraka gani kuja huku JF.
Kumekucha.Hospital ninayopeleka kijana, wamecancel bima ya NHIF kwenye orodha ya bima wanazopokea!!
Hawakuishia hapo! Wameandika kabisa tangazo kuwa hawapokei bima ya NHIF!!
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Wewe ni ndio huna akili heshima na wewe ni wale watu wapumbavu ambao wameoa kwa bahati.Huna akili kichwani, Bima yangu hata India napelekwa.
Mtoto analalamika tumbo I guess ni some food poison niende hospitali kubwa wakati ni issue za kumaliza dispensary za mtaani?
Hicho kichwa chako ni mzigo Kwa shingo.
Kwa taarifa yako mara nyingi nanunuwa dawa pharmacy wala sinaga mpango na hospitali nikiwa na hakika nahitaji dawa gani, nilichofuata hospitali ni laboratory investigation tu.