Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Mtoa huduma lazima wawe waelewa tu kwa maana ugonjwa sio kitu kizuri wawambie watu waongeze pesa unawaambia kiasi kimepunguzwa so huduma hii kwa leo naruhusu ila kwa siku nyingine inabidi uongeze pesa maana imekatwa asilimia fulani basiTatizo sio bima kubwa au ndogo, tatizo ni NHIF kutolipa kwa wakati madai ya watoa Huduma. Na sasa ndio wamepunguza vitita mfano, huduma iliyokuwa inalipiwa 25,000/= imeshushwa hadi 14,000/=
Ebu fanya maamuzi hapo, jifanye wewe ndio mtoa huduma