Hebu tuambizane, hospitali binafsi zimeanza mgomo baridi Kwa wanaotumia Bima za NHIF?

Tatizo sio bima kubwa au ndogo, tatizo ni NHIF kutolipa kwa wakati madai ya watoa Huduma. Na sasa ndio wamepunguza vitita mfano, huduma iliyokuwa inalipiwa 25,000/= imeshushwa hadi 14,000/=

Ebu fanya maamuzi hapo, jifanye wewe ndio mtoa huduma
Mtoa huduma lazima wawe waelewa tu kwa maana ugonjwa sio kitu kizuri wawambie watu waongeze pesa unawaambia kiasi kimepunguzwa so huduma hii kwa leo naruhusu ila kwa siku nyingine inabidi uongeze pesa maana imekatwa asilimia fulani basi
 
Hayo Makachumbali Makachumbali ndio mpango mzima kuleta ladha hasa ukimix Kwa Mihogo😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…