Hebu tuangalie hoja hizi zilizotumika kupinga Uchunguzi wa Rais Magufuli Maabara kuu ya Taifa

 
Naunga mkono hoja
 
Tatizo ni waatalam hawana umakini na kazi yao coz huwezi kupelekewa majmaji ya papai na nanasi usigundue kitu chochote hapo ni tatozo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumba pumba pumba mashudu mashudu mashudu takakata takataka takataka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hukusoma nilichoandika na kama umesoma basi hukuelewa chochote.
Samahani kwa hilo mkuu.
 
Hao waliochukuwa sample za mapapai hawana utaalam ndiyo sababu tunasema huenda sample zilikuwa contaminated. Sasa unatumiaje hiyo hoja kwa sample zinachukuliwa na wataalam waliosomea kazi yao na wenye uzoefu, ondoa huo utetezi wako
Wewe pia hukuelewa kitu umekurupuka mkuu, hiki unachosema nimekieleza hapo kwenye mada soma tena kwa makini uelewe alafu uje na hoja mbadala hapa mkuu.
 
Mkuu narudia tena kukusisitiza, soma tena mada vizuri uelewe nilichoandika mkuu.
 
Naona unarudia yale yale mkuu, kwani hivo vipimo si vimetengenezwa specific kupima corona?

Kama imeletwa sample ya mmea au mnyama ambayo ni tofauti haitakiwi kwanini isitowe majibu ya kutokuitambua hiyo sample iliyopimwa na badala yake inaleta majibu positive/ negative??

Utawatetea vipi hao wataalam kuhusu weledi wao mkuu, yaani we nikuletee sim ya Nokia yenye cover la Samsung alafu nakwambia hii ni Nokia peleka sokoni, wewe kama mwanasayansi ulie bobea kwenye masuala ya uvumbuzi na utengenezaji wa simu alafu unakubali na kupeleka kweli sokoni, hivi hapo tutaacha vipi kuwa na mashaka na taaluma yako??
 
Hawa kuwa disproove ni rahisi sana

Unamuambia twende mguu kwa mguu shambani kwangu huku camera zikichukua kila tukio halafu nichukue sample kisha nizipime then tuone kama kweli kila papai lina corona
Sasa naona mkuu unaleta siasa zile zile, kwamba hizo sample wameenda kuzichukua wakiwa na ma camera!!!!?
 
Licha ya hilo mkuu, kwanini hivi vifaa hawakuvifanyia utafiti vilipokuja badala yaka wakavipokea jumla jumla na kuanza kuvitumia hivi ndivyo taaluma yao inavyotaka??
Yaani hawakupata wazo hata chembe la kuvijaribu hivi vifaa, tutaacha vipi kujaji weledi wao??
 
Mkuu nadhani una la kujifunza zaidi katika hili.
 
Hoja yako ni ipi hapa?

Wataalamu ndiyo tatizo au vifaa ndiyo tatizo ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The whole process was a waste of time and resources.

Watu serious na watu wanaowaongoza hawawezi kufanya ule upuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
point kama hizi ufipa hawataki juzisikia kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna point yoyote hapo uchafu tu.
Ujumla alitakiwa achukue sample za mtu yeyote zikapimwe kwa siri hata mara mbili tatu aone ajibu yakoje.

Alafu achukue sample zile zipelekwe mashine zingine ayo itoe majibu.
Ndipo uwe na maajibu.

Hizo machine ni maalum kwa kupimi corona na si vinginevyo. Unafikiri uchukue mavi unadhani inakupa maji gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…