Hebu tuangalie hoja hizi zilizotumika kupinga Uchunguzi wa Rais Magufuli Maabara kuu ya Taifa

....kwa njia hiyo utakuwa kwenye nafasi nzr kufahamu dosari iko wapi..si hivyo walivyofanya, kama ni muungwana huyo prof. hata hiyo kazi alipaswa aache! huwezi kutoa ushauri dhaifu namna hii.
ha ha ha! wa kupima mafenesi kwa vifaa vya binadamu!
 
Mkuu unataka kunambia kuwa hawa wanasayansi maelezo waliyo yatoa kuhusiana na utendaji kazi wa hivi vifaa wametudanganya??
Kuna uzi humu JF wa Dr Mwele,umeona maelezo yake mafupi?
 
Mkuu usitevemee kupata majibu yatakayokwenda kinyume na Bwana Yule. Yaani akupe posho usafiri na ahadi ya kupandishwa vyeo uje eti na uchunguzi wenye mtizamo tofauti??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wazi kwamba ndani serikali ya JPM hakuna mashirikiano, wakati vipimo vinaendelea kulikuwa gape kama serikali wamehisi kuna sintofahamu walipaswa kutuma team ya wataalam kwenda kwenye hii maabara kujua kile wanachokiita aidha mashine feki ama uongozi wa maabara unavyokosea ugunduzi wa kuleta majibu, na hili lingefanyika pasina watanzania kujua kama yawezekana kuna weakness kwenye hii maabara ambapo saiv kuna mkanganyiko mkubwa na taharuki.

Jengine ni kwanini Rais amepeleka sample za nanasi, fenesi sjui papai kwenye mashine ya kupimia Covid-19? Kwann asingetumis sampili za binadamu tofauti tofauti? na kuzirejea hizo kwa hizo kwa majina tofauti? Huwezi kupeleka mafenes halafu ukaja kujenga hoja kama alizojenga sababu kubwa ni ile mashine je kwa mtazamo wa kawaida imetengebezwa kwa kugundua vitu ambavyo havitokani na mwadamu? Nadhan hapa chochote kinaweza kutokea kwenye majibu ni uncertain

Mimi namlaumu sana, wakati anasema aliyoyasema kwanini hakutoa way forward kwasabab amekuja kueleza yale kuna watu washatoka kwenye vipimo na zoezi linaendelea Labda lipo katikati sasa je hawa waliokwishakupewa majibu wafanywe nini? waachiwe warudi majumbani mwao kwa wale walio positive kwa vile mashine ilikuwa feki lakini je wale tulioambiwa wamepoa tuwarudishe kwa vipimo labda sample zao zipelekw nchi nyengine kwa vile Tz mashine ni za mabeberu hazina viwango ama vipi? Laki baya zaidi sasa kuna wiki 2 hakuna update yeyote kuhusu covid 19 Tz, je watu wafahamu ugonjwa wa corona hamna tena Tz, ama kama ipo ni kwa kiwango gani ili wananchi wajitathmini kwa tahadhari?

Tarehe 13 ile kamati ndio itatoa majibu, je wakileta majibu mashine ni feki ambayo si feki itafika lini kutoka wapi na itahakikishwa kwa muda gani? Kipindi hicho chote wagonjwa wa covid nchini watatambulika vipi?

Amesema wananchi wachuke tahadhari kwani ugonjwa je upo nchini? Walijuaje maana mashine ni feki ama wapimaji maabara hawana ufanisi walitoa majibu ya possitive mengi ilhali yawezekana wote ni negstive, kwanini vyuo na wanafunzi wasirudi mashuleni, kwa vili ligi itarudi soon.

Ukweli ni kwamba kunaibuka maswali mengi sana kwenye ile hutuba
 
hii inamaana kuwa hawapimi. Wanjiandikia majibu
 
Kipi bora, kuacha kutoa hukumu ili tume iwe huru au kutoa hukumu na kisha kuunda tume? Kwani yale majibu aliyokuwa nayo asiyahifadhi kwanza, halafu aunde tume kisha aje alinganishe majibu ya mapapai na majibu ya tume ndipo apate jibu halisi na hapo ndio atoke hadharani kubwabwaja.
 
Nayo ile unaiita hotuba? Kwani huzijui hotuba? Hivi kufoka nako siku hizi ni hotuba?
 
Hawa kuwa disproove ni rahisi sana

Unamuambia twende mguu kwa mguu shambani kwangu huku camera zikichukua kila tukio halafu nichukue sample kisha nizipime then tuone kama kweli kila papai lina corona
Naamini upo mkuu.
 
Umeona sasa ni nani anastahili kukosolewa hapo?
 
Wewe umesomea wapi utaalamu wa maabara? Unatoa hukumu halafu unasema unaunda tume, ya nini wakati umeshatoa hukumu? Nani mwenye ubavu wa kwenda kinyume na tamko la mzee?
Wewe ni mtaalam wa maabara!
 
Tungewafata watu kama nyinyi sasahivi tungekuwa kwenye majuto makubwa.
 
Kichekesbo! Wewe una hakika gani kuwa alipeleka vipimo huko maabara au alikuwa anataka tu kuwafanya watu wa kawaida kuamini kuwa hakuna corona na wataalamu wasiaminiwe? Ukiwa rais wa nchi masikini, huna fedha, hospitali ni chache, wataalamu wa afya ni wachache na waoga wa corona, hujafanya maandalizi, utafanya kama rais wetu, yaani unahamasisha wananchi wasiende hospitali, watakaogua au kufa wawe hivyo kifichoni majumbani, na mwisho wa siku uombe Mungu wananchi wengi wapate kinga ya jumla. Not nice but effective.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…