Hebu tuanzie hapa: Ben Saanane alitoka kwao saa mbili asubuhi ila hakurudi mpaka leo. Yupo hai? Kuna huu ujumbe aliotuambia

Kwa hiyo ni sawa mtu kuuawa kisa ka question elimu ya mtu?
Mbona Obama hakummaliza Trump baada ya Trump kutaka Obama aonyeshe cheti chake cha kuzaliwa?
 
Wewe ni bashite

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko kukosa shabaha risasi 38?We ushawah ona tukio la assassination likatumia risasi nyingi kiasi hiki na mtu akawa mzima?Kwanza unaambiwa jamaa walianza kumfuatilia toka Dar hahahahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatimaye sasa nimekusoma. Misheni ilikuwa ya muda mfupi, hakuandaliwa mdunguaji,g.duty wakapewa kazi...
 
Sasa ndo mjue mlikodishaa jamaa falaa kama nyiee..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni kumtoa uhai serikali haiitaji kutumia nguvu kubwa kama hiyo.Ilikua ni kuvunja kioo na kumtwanga risasi 1 ya kichwa au mbili na kukimbia. Sasa ukisoma maelezo ya tukio ndio utaona hakukua na muuaji pale.Eti wamefika wakaanza kusubiri, mara wakatoa bunduki, mara dereva anashuka anamlaza lisu naye anaingia uvungun na ndio jamaa wanaanza kumwaga risasi kama njugu.Hii assassination ni ya kwanza Duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa cha kuhoji, we jifanye kuhoji ambavyo hata usipohoji hunufaiki na chochote zaidi ya kupoteza muda wako tu na kutafuta sifa za kijinga.

Ngoja sisi tusionufaika na kuhoji maisha ya mtu kielimu tuendelee kukaa kimya katika jamii lakini kwa Mungu tu wenye hekima kama alivyotuagiza kwenye Biblia kuwa "tuchunge sana ulimi".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh so wewe unataka kusema Lisu katengeneza movie ya Kujipiga risasi???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Issue ya MO kutekwa na wasouth-Africa/Wamsumbiji kwa kutumia Toyota Surf ni kweli mkuu?
 
Issue ya MO kutekwa na wasouth-Africa/Wamsumbiji kwa kutumia Toyota Surf ni kweli mkuu?
Ndio muendelezo wa movie. Kama umeweza kuhoji hili la Mo na kuona kuna uhuni, kwanini hili la muuaji kupewa bunduki ya risasi 38 na akashindwa kazi kuwa nayo ni movie?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kama ni lisu au nani.Ila kama UNAAKILI timamu utaona hilo tukio ni la kipuuz. Usiforce kile ulichoambiwa ndio kiwe sahihi Jitaid siku usome maelezo ya tukio then fanya imagination

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kama Lumumba mlifanya tukio liwe vilee ili muje kuongeaa ujinga huo hapa.. Hakuna maelezo wala maandishi hapaa.. Ishu ni Lisu kupigwa risasi eneo lenye Ulinzi mkali na CCTV cameraa.. Alafu mbona Jiwe hajawahi kusema neno lolote la kuhamasisha Lisu kesi yake ishughulikiwee..kina Saa nanee...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio muendelezo wa movie. Kama umeweza kuhoji hili la Mo na kuona kuna uhuni, kwanini hili la muuaji kupewa bunduki ya risasi 38 na akashindwa kazi kuwa nayo ni movie?

Sent using Jamii Forums mobile app
Eehee wewe unadhani Movie ya MO ile kama una akili timamu nani kaitengeneza???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja yangu mkuu ni kupigwa Risasi 38 na kudai hao jamaa anawafaham toka Dar na siku ya tukio aliwaona tena wakimfuata. Hapo ndio movie inapokuwa ya kibongo

Hata akiwafahamu haisaidii kituuu... Nape alitolewa bastola nin kilitokea??? Kesi ya nyani uipeleke kwa Ngedere??? Risasi 38 hizo inawezekana walihesabu mAganda eneo la tukio na Pia sio lazima risasi zote zimpatee..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio muendelezo wa movie. Kama umeweza kuhoji hili la Mo na kuona kuna uhuni, kwanini hili la muuaji kupewa bunduki ya risasi 38 na akashindwa kazi kuwa nayo ni movie?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo matukio mawili hayafanani.

Wewe umesema kuwa kumwua mtu inahitajika risasi moja tuu.Na ndicho nilichosema awali, kuwa tukiachilia mbali kuwa alilengwa na risasi 16 ambapo nyingi zilimiga mguuni(huku muuaji akidhani zimemlenga maeneo hatari zaidi) hata tukisema amepigwa moja na akaishi still ni muujiza.

Kama argument yako ni idadi ya risasi, ninarudia tena, hata TL akikuambia ukweli bado hutomuamini hivyo sikushangai sana usiponiamini mimi.Labda ungepigwa wewe ndio ungeamini.
 
Eehee wewe unadhani Movie ya MO ile kama una akili timamu nani kaitengeneza???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui imetengenezwa na nani ila ni movie tu tena ya kibongo. Hata ya lisu ni movie tu.Yaani muuaji anaingia na gari yake hadi getini hahahahahahah.Muuaji anakufuata nyuma nyuma hahahahahahah. Nachojua muuaji anakaa sehem ambayo anajua huyu jamaa ni lzm apite. Muuaji wa lisu toka Dar yuko naye tu,kafika Dom yupo lisu anatangaza kwenye vyombo vya hbr huyu muuaji yupo tu hata abadili mbinu ye ni kumfuata fuata tu.Ni hatar sana.Fuatilia Assassination za akina Jf Kenedy na kuna makala za jicho pevu uone nini kinafanyika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na Kina Jeff kenedy...!! Movie ya MO kama nayo hujui nani kaitengeneza bhasi kakojoe ulalee mzee baba... Hakuna kitu utaniambia cha maana hapa kama unatetea Uhalifu wa wazi wazii...

Yah,kama nilivyoeleza kuwa Mimi hoja yangu ni mazingira ya tukio na sio nani muhusika. Kwamba hili ni tukio serious au kuna agenda nyuma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…